Recent content by RiOD

  1. R

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Hii booster cable unayo? Kama NDIO bei gani?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    I see Inaleta figure sawa with minus sign. Nipe muda nifanye upya calculation bro. 5³-[(7+5)×(7-5)]=101 3³-[(8+3)×(8-3)]=-28 2³-[(5+4)×(5-4)]=-24
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    4³-[(5+4)×(5-4)]=55
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    A=3.5 B=4.5 C=9.5 D=3.5
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jiji la Moshi mliwakosea nini Toyota Tanzania Ltd? Hakuna Branch wala Authorized Parts Dealer

    Sikuwahi kujua hili mkuu, Ila nitapita pale nione kama lile bango la TOYOTA wamelitoa au bado lipo wanafanyia nalo utapeli.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jiji la Moshi mliwakosea nini Toyota Tanzania Ltd? Hakuna Branch wala Authorized Parts Dealer

    Nahisi RAJINDER MOTORS yupo vizuri. Yupo authorised na TOYOTA kukata na kuongeza chasis (refer landcruiser ndefu za utalii) Wangeenda hapo RAJINDER MOTORS.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Sahihi kabisa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Yaah ni kadogo mkuu ndio maana nikaja kwenu mnipe makadirio ya bei.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Ahsante sana mkuu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Wakuu bado nasubiria mawazo yenu kuhusu makadirio ya bei.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Tuna nyumba kubwa na nzuri sana tunayoishi maeneo ya Moshi airport kama unapafahamu. Nyumba nayotaka uza Ilikuwa Ikijengwa na mama wakati flow ya pesa ni kubwa. Inshort hatuna tatizo la makazi.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Ahsante mkuu kwa ushauri.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Ahsante sana mkuu. Kwa square meter 210 naweza pata bei gani kwa makadirio?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Nimezaliwa peke yangu, mama ana nyumba kubwa na nzuri sana anayoishi kwa sasa, hii nayotaka uza alikuwa anaijenga tu kipindi mambo yapo vizuri. Pia malengo ya mama ni kuniacha katika msingi mzuri wa elimu, hiyo nyumba sio Issue kubwa sana kwake.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei kwa kiwanja cha mita za mraba 210

    Sijakurupuka kuuza hiyo nyumba mkuu. Nitakuwa na Internship after final year, so sidhani kama ni rahisi kukosa mishe baada ya chuo.
Back
Top Bottom