Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana, wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Pia ni wepesi kulaumu mambo yanapokwenda ndivyo sivyo lakini wagumu kupongeza pale mambo yanapoenda vizuri.
Leo nataka niwe tofauti na wengine kwa kutambua mafanikio ya uongozi wa sasa wa TFF chini ya Ndugu Wallace Karia...