Recent content by ringomalisa

  1. ringomalisa

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Naishukuru Serikali ya awamu ya tano kwa juhudi zake za kukuza elimu nchini.
  2. ringomalisa

    Mtama: Rais Magufuli asema Jimbo la Mtama lilitelekezwa miaka mingi kabla ya Nape kuwa mbunge

    Bei yenyewe nzuri mno. Sisi wakulima hatuna haja ya fidia. Wewe Mrangi Said sio msemaji wetu.
  3. ringomalisa

    Mtama: Rais Magufuli asema Jimbo la Mtama lilitelekezwa miaka mingi kabla ya Nape kuwa mbunge

    Nape ni mwakilishi wa wananchi wa mtama. Hivyo anajua Mahitaji yao.
  4. ringomalisa

    Serikali yatangaza kuongeza Muda wa kuandikisha wapiga kura hadi Oktoba 17

    Usijiandikishe halafu mnawahubiria wafuasi wenu kuwa 2020 ni anguko la upinzani.
  5. ringomalisa

    Rais Magufuli aagiza Halmashauri ya Lindi Vijijini kuwa Halmashauri ya Mtama na Ofisi zake kuhamia Mtama

    “Najua hili nimelimaliza Halmashauri ya Lindi Vijijini itaitwa Mtama,Nape shughulikia hili najua Wananchi wako wanakupenda na mimi nakupenda, ulifanya dhambi zako nikakusamehe, Nape nimeshamsamehe sio mtuhumiwa hana dhambi yoyote naomba mshirikiane nae ktk kujenga Mtama mpya“-JPM
  6. ringomalisa

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    wozaaaaa Takwimu zinaonesha waliojiandikisha mpaka ni asilimia 49% ya watu wenye sifa.
  7. ringomalisa

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Muongo mnapiga kura sema lengo lenu kuwafanya wenzenu wasione umuhimu wa kujiandikisha ili mwisho wa siku mpige kura ninyi wenyewe tu. tumewastukia.
  8. ringomalisa

    Serikali yatangaza kuongeza Muda wa kuandikisha wapiga kura hadi Oktoba 17

    Nimefurahi umejiandikisha. Umefanya vema sana.
Back
Top Bottom