Recent content by Ringo Malisa

  1. Ringo Malisa

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Mtasema sana mchana na usiku mtalala
  2. Ringo Malisa

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Mpaka mtapike mwaka huu
  3. Ringo Malisa

    Kwa kasi hii ya kiuchumi basi Rais Magufuli aende peke yake, asiguswe

    But, kwa sasa habari ya mjini ni MAGUFULI TU. Utake usitake.
  4. Ringo Malisa

    Mtumishi wa Mungu, Bagonza kahamasisha maandamano ni dhambi kama dhambi nyingine

    Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD) Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, katika makala yako umezungumzia namna ambavyo mtu anamfanyia mtu mwingine jambo na kisha kutangaza adharani kuwa amemfanyia kitu fulani. Bila shaka uliilenga serikali ya awamu ya tano kwa kutangaza maendeleo iliyowaletea...
  5. Ringo Malisa

    Wakati Serikali ikiendelea kuficha ukweli kuhusu COVID 19, baadhi ya Watanzania wenzetu inawatesa

    G Sam, Afadhali umetanabaisha kwamba tunaweza kufikiri mnatumiwa na Mabeberu, na huo ndio ukweli. Hivyo basi, fanya ulichotumwa ili upate ujira wako. Tunachofahamu ni kwamba Mungu amemtumia Rais wetu kutuonesha njia ya kuishi japo mnasema kunao huo ugonjwa.
  6. Ringo Malisa

    Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza, mnalipwa bei gani?

    Unashabikia usilolijua lakini mwisho wa siku mnakaa kimya wenyewe.
  7. Ringo Malisa

    Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza, mnalipwa bei gani?

    Nawazungumzia Askofu Emmanuel Bandekile Mwamakula na Askofu Dr. Benson Bagonza. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu watumishi hawa wapakwa mafuta wa kanisa hapa nchini. Nashindwa niwaweke kundi lipi lakini naona niwaite watumishi wa kanisa. Wakati Taifa lilipopitia wakati mgumu wa maambukizi...
  8. Ringo Malisa

    GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    Kabisa. Hao waangalizi kama wanakuja waje kutembea tu. Wasikae wakategemea Nchi hii itaingia kwenye machafu kamwe.
  9. Ringo Malisa

    GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    Uchaguzi wa serikali za mitaa uliharibika kutokana na Ujinga wa wapinzani. Kwani walipewa maelekezo kutoka kwa wafadhili wao kuwa wasusie uchaguzi ili endapo Nchi itaingia katika machafuko, uchaguzi Mkuu usiweze kufanyika. Kubalini kuwa hamna hoja na sera za kuwaeleza Watanzania.
  10. Ringo Malisa

    GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    Na kweli wametumwa hao. Sasa watambue kuwa wembe ni uleule uliowanyoa kwenye kueneza taarifa za uongo kuhusu corona, ndio utakaowanyoa oktoba 2020.
  11. Ringo Malisa

    Kunyamaza ni silaha kubwa

    Wapinzani mkiona mnayemtendea Ubaya halipizi, Mnamchukia lakini yeye anawaonesha Upendo. Mnamdharau lakini anawaheshimu. Mnamtuhumu wala hajibu tuhuma zenu. Mnamtenga lakini ameendelea kuwaonesha Upendo na umoja. Mnamshusha anavumilia. Mnamnunia, yeye anawachekea. Mnamhujumu yeye anasonga...
Back
Top Bottom