Recent content by Rigidity

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Warudisha kadi za CCM wadai hawatashiriki uchaguzi

    Panakucha sasa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Mwanamke kiumbe katili na dhaifu. Anaisaka mimba Kisha anaitoa au kumuua mtoto Mwanamke anaishi kwakutegemea ushauri wa waliomzunguka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

    Kuna chama chenye wenyewe
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polepole Amepotosha na kusema Uongo juu ya Salamu ya Rais Samia ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'. Na huu ndio ukweli wake

    Hoja yake kubwa nikukiukwa kwa mchakato wa kumpata mgombea. Wacha maneno mingi mingi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Familia zitakazojaa Bungeni

    Mungu ingilia kati
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

    Machawa ndio watashika mpini
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Walarushwa kazini. Wanawezaje kuleta wagombea wenye weledi?
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Sasa shahidi akifichwa,vipi maswali yataulizwaje na kujibiwa na nani
  9. R

    JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya umeonesha binadamu ndio kiumbe mwenye upeo mdogo sana wa akili kuliko viumbe wengine

    Ninaona kama umelenga kuwasema wanasiasa. Hapo ungesaidiwa kujenga hoja. Hao viumbe hawaeleweki. Leo wakiambiwa mjamzito afutwe shule wanapiga meza wote na wakiambiwa au ..... asome tu na tumbo lake wote tena wanashangilia Kwaufupi hawaeleweki
  10. R

    JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya umeonesha binadamu ndio kiumbe mwenye upeo mdogo sana wa akili kuliko viumbe wengine

    Kama umegundia binadamu ndio kiumbe mwenye akili ndogo, je kiumbe mwenye akili kubwa ni yupi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Pole sana. Maumivu yakizidi Muone Daktari
Back
Top Bottom