Siyo vibanda vya video tu, hata nyumbani kuna tamthilia za kipuuzi sana zinaoneshwa na watoto wanatazama. Tena kuna wazazi mamburula ambao wanaamini kumnyima mtoto kutazama upuuzi wa tv usiku na mchana mrefu ni kumuonea. Wanadhani wakishanunua tv basi ni haki watoto kuangalia kila...
Kama wale wa dini yako waliokataa shule na sasa wamebaki wakishutumu mfumo fulani kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili. Wanataka vyeo vya mezani bila shule. Tehe tehe tehe!
Wewe mburumundu acha ukuda. Unaharibu mada hapa. Kiswahili hujui, Kiingereza hujui. Mleta mada amekosea wapi wewe, ina maana hujui ukimwi ulivyoletwa duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.