Kichwa cha habari chahusika.
Aga Khan Hospital upande wa wazazi imekuwa na sifa njema kwa kipindi kirefu kwa huduma zake ambazo miaka yote zilitolewa bila usumbufu kwa wateja wake kama ilivyokuwa kwenye hospitali za uma.
Mke wangu amejifungua watoto wetu wawili kwenye hospitali hii, hata mara...
Habari waungwana.
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza, ni wiki mbili sasa tangu tupate dada mpya wa kazi za ndani ambae tutaanza kumpa mshahara wake wa kwanza mwishoni mwa mwezi huu.
Tumeshakaa na wadada watatu tofauti tangu tupate mtoto wetu wa kwanza ambae kwa sasa ana miaka tisa. Wadada...
Wakuu Salaam.
Naomba kujifunza kutoka kwa wanandoa wenzangu ambao mmeshakutana na hii hali.
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili katika ndoa yetu na hivi sasa mke wangu ana ujauzito wa mtoto wetu wa tatu.
Katika mimba zake zote mbili zilizotangulia hasa ya kwanza alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.