Recent content by Ridhwan Ame

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa 4 kazini; Nimeyachoka maisha haya

    Habari ndugu. Jambo la msingi ni kufikiria kwanza ungependa kufanya nini na vizuri iwe ni copy down kwa unachofikiria huwezi kufanya bila kupanga ufanye nini, kwa muda gani,pahala gani na kwa gharama gani na usisahau kudraw unachokitaka sababu humo kuna unachohitaji. Kwa aina ya maisha uliyonayo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania DRC: Kambi ya wanajeshi wa Tanzania na Malawi yavamiwa na kuchomwa moto, raia wanne wauawa

    Kwani kwanini EU haiwapi nafasi kuendeleza Operation mpaka kunahusika na kama Askari hawatoshi mbona kuna Raia wengi wanapenda amani itunzwe huko congo hapa tz wapeni fursa na wakirudi salama watakuwa wameshaliokoa taifa la wenzetu na kuipa Tanzania heshima pia mazingira mazuri tu yawekwe juu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha Akwilina Akwilini wameachiwa huru

    Ni Nikiwa chuoni nilisoma kitabu kimoja nikinukuu mwandishi flani wa nje ya nchi aliandikia hv"Machafuko yoyote yanayotokea kwenye jamii hutokea kwasababu kuna kundi la watu hawakutendewa haki" Sijihusishi na siasa ndani ya nchi hii lkn busara itumike kujenga nchi suala la kufuata ILANI za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha Akwilina Akwilini wameachiwa huru

    Kwakuwa Tz ni yetu sote sisemi kuwa wanamakosa bado lkn hata huyu mwanasheria anafaa kutumbuliwa zinatumikaje risasi za moto kwa raia halali wa ndani ya nchi eti 7bu kudai kitu flani. Mkuu huyu wa kutumbuliwa 7bu jeshi la polisi linapaswa kufuata weledi kama wamekosea sheria ichukuwe mkondo wake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania dalili za uchungu kwa mama mjamzito.

    Mm sio mwanamke mwamba ni Mwanamme nimeridhika na elimu iliyotolewa au maelezo yaliyotolewa hapo kuhusu mja mzito na siku au mazingira ya kujifunguwa kwake.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wiki ya ngapi ni wakati mzuri wa mwanamke kujifungua?

    Nakushauri mkapime DNA maana hiyo aman haitakuwepo na hiyo nna maana zaidi ya kutafuta amani ndani ya ndoa na kama Mwanamke anakataa basi huyo ni mke wa mtu na si wake sasa kuna haja gani ya kuishi na mke wa mtu, Unajuwa wanaume, wanawake tunachepuka lkn lazima tuzingatie kuwa si tabia na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Mimi naungana nafasi ya kuwajibika kabla ya kuwajibishwa yy anawajibika si jeuri lkn inaonekana wazi kuna vikwazo na mashaka mengi yanayomkosesha Raha kwa kufikiria kuinuwa Taifa la Tanzania kwanini tuiuungane nae tukawa na nguvu ya pamoja. Ijapokuwa kama Mtu mmoja ananguvu wingi wa watu huwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Tulicheza na kupoteza Rasilimali muhim sana Tanzania basi hata bikra na Heshima za hawa watoto binafsi mm si muumini mwema wa Mambo ya Wamagharibi lkn sisi wenyewe tayar tumekuwa tukipendezwa na hayo sasa hata kuchukizwa tuanze sisi na anapokuja mwenzetu tuamke maana usipoamka kwa mdomo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Mabadiliko katika jamii yoyote ni lazima na Uongozi wowote utakuwa na malengo binafsi, namuunga mkono Rais ila jamani si kwake tu, na kwa mwengine yyt haya maneno machafu yaacheni, nachukizwa tu na baadhi ya vitendo vya wanasiasa Afrika kwanza kuwa uchaguzi umeisha halafu bado wanazozana au...
  10. R

    JamiiForums Tanzania dalili za uchungu kwa mama mjamzito.

    Elimu ya Afya huwa hainitoshi siku zote ijapokuwa napenda kujifunza mambo tofauti kila siku lkn jaman na haya matokeo yanayotoka huvunja Talents na Ndoto za wahusika. Uko huru kudadavua haya maneno.
  11. R

    JamiiForums Tanzania dalili za uchungu kwa mama mjamzito.

    Nimeridhika na majibu hongera.
Back
Top Bottom