Recent content by Ridh1

  1. R

    JamiiForums Tanzania BN:Utopolo wameanza kutimuana huko

    Wamefanya jambo la maana Mfikirwa yupo slow sana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Barakah Da Prince asusia interview

    Kipo kitu kati ya aliyekuwa mke mtarajiwa wa Baraka(Najma) na Ali Kiba nuksi sana yule kijana[emoji1]
  3. R

    JamiiForums Tanzania WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

    Dvoice_ginnii Dogo anajua sana na kwa pale Wcb naimani atafanya vizuri sana Kwa mziki wake wa singeli
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

    Ingia kwenye page yake Instagram
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

    Kutokana na mila pamoja na desturi ya kwetu huyo mchezaji hafai kucheza Tanzania, KATLEGO ni mchezaji mzuri lakini kashajitangaza kuwa ni upinde
  6. R

    JamiiForums Tanzania Simba wanaweza kufuzu leo nusu final

    Hata mimi naona dalili hizo
  7. R

    JamiiForums Tanzania 20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

    Na pia kipindi hiko Jidee alikuwa mke wa mtu pia Alimkosea sana, huwez kutongoza mke wa mtu ilihali mumewe unamfahamu
  8. R

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

    Halafu anajikuta anajua kila kitu kumbe hanangwa tu[emoji1] Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    All the best Young African
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

    Hizo nyimbo zote nazipenda sana, naomba nikuongezee na (Mapenzi ni ya wawili-Maunda Zoro)
  11. R

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

    Hivi upo sawa kweli wewe Nimekuuliza kilichomfanya Ibrahim 2017 atoke Simba kuja Yanga ni Nini? Na kwanini alirud tena simba baada ya mkataba wake kuisha? Kama kweli alikuwa ana mapenz na hiyo timu yake kilichompeleka Yanga kipindi kile ni nini?? Ivi unafikiri kwanini Kibadeni(MwanaSimba...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

    Ninachofurahi kwasasa nimeshajua uwezo wa akili yako, Yani wewe ni hopeless kabisa aisee[emoji1]
  13. R

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

    Yani wewe kumbe hanangwa hivi?? Aiseee[emoji1] Ibrahim Ajibu aliyetakiwa na Tp Mazembe akakataa? Unaushahidi huo kwanza kama alikataa au ndo maneno yenu mnayoongopeana mkikaaa vijiweni Alaf sababu ya Ibra kurudi Simba hauijui au unajitoa fahamu tu, Hivi kwa ukata ule uliokuwa Yanga kipindi kile...
  14. R

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

    Jengine hatoe wapi kolo huyo[emoji1]
  15. R

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    Timu haina ladha kabisa Mpira mbovu yani hovyo hovyo tu
Back
Top Bottom