Recent content by ricochetmarcus

  1. ricochetmarcus

    KERO Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL Singida, Wilaya ya Ikungi Kata ya Misughaa

    😂😂😂nipo kwa muda nawaachia lain yao huku huku sitaki utani
  2. ricochetmarcus

    KERO Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL Singida, Wilaya ya Ikungi Kata ya Misughaa

    Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL katika mkoa wa SINGIDA , wilaya:IKUNGI ,kata :MISUGHAA. Mnara huu unachangamoto ya nishati inayotumika haitoshi kabisa sasa ni mwezi unaisha na siku zake. Mnara huu unatumia nishati ya jua(solar pannels) kipindi hiki cha masika ndo tatizo haswa...
  3. ricochetmarcus

    KERO Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike, mwezi mzima mnara hausomi

    Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪. unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa . Wakati nishati ya umeme ipo karibu hapo au waweke nishati mbadala ili mawasiliano yawe ya uakika
  4. ricochetmarcus

    KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

    Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu. Ni zaidi ya kero...
  5. ricochetmarcus

    KERO Responded TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida

    Apo umenena kaka ,,kungekuwa na solar pannel nyingi ingekua heri.mtu unaamka hamna mtandao yaani signal hamna kabisa ikifika saa tatu kidogo znakuja ila mida ya usiku ndo amna kabisa..alafu nguzo za umeme zipo karibu 🤨🤨
  6. ricochetmarcus

    Changamoto ya huduma ya mawasiliano ya TTCL kata ya Kikio na Misughaa imetatuliwa

    Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL. Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto. Asante viongozi kwa uwajibikaji Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za...
  7. ricochetmarcus

    KERO Responded TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida

    Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida. Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo...
Back
Top Bottom