Recent content by RicMbowe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

    Naomba kujua duka lenye unafuu mkuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

    Nipo Daresalaam, kwa sasa nachukua duka la Woisso, napenda kujua chimbo la jumla nipate nafuu zaidi,
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

    Habarini wakuu, Naomba kujuzwa sehemu wanapouza vitambaa vya sofa kwa bei ya jumla,
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ kibarua

    Mkuu kalaga baho naomba namba yako, nahitaji msaada wa taarifa mbili tatu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya sh 500,000/= nayo ni pikipiki?

    Habari kiongozi, mimi nahitaji pikipiki za laki 5, naweza kuzipataje, msaada wako mkuu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kufika China kwa mara ya kwanza kama mfanyabiashara

    Habari yako mkiu naomba mawasiliano yako, hasa Whatsapp
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ukimuhoji Mwananchi wa kawaida kabisa na Wanaharakati kuhusu Hayati Magufuli unapata majibu mawili tofauti

    Acheni propaganda hizo, aliwakingia kifua wapi, hao mama ntilie hawakufanya biashara kabla ya yeye kuwa rais?, Walipokuwa wanaondolewa hawakutakiwa kiwepo, wangeenda kuuza chakula mlangoni mwa ikulu ungeona angefanyaje..
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mimi nimeuacha upumbavu, we we endelea nao
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    1-Kuua ni mapungufu ya kibinadamu? 2- kubambikia watu kesi ni mapungufu ya kibinadamu? 3- kupenda kuabudiwa kama Mungu ni mapungufu ya kibinadamu? Hauko sawa wewe
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    acha ujinga,
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Watu wanaomsifu Meko wanaangukia ktk moja ya makundi haya; 1- Makada was CCM, hawa wanamsifu bila choice, wakati mwingine kinafiki, kwasabu wasiposifu waaonekana wasaliti. 2- Watu wasio wapambanaji (kula kulala), hawa hawaoni changamoto za kiuchumi ambazo watu wapambanaji wanaziona kwenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kweli ndugu, yani was kukumbukwa hapa ni walioteseka na kufa chini ya utawala wake, yeye asahaulike kama hakuwahi kuwepo vile, worst president yet!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    We utakuwa muangaliaji wa propaganda za TBC
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Wangapi tulisikia walikufa kwenye utawala wake? Tuanzie hapo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nimeishi Dar, Morogoro na Iringa, Dar kulikuwa na shida ya maji, ila Moro na Iringa ahida ya maji iliisha tangu Kikwete era, so nothing special hapo ni muendelezo, asionekane kama mkombozi wakati alikuwa na roho mabaya sana, katili mno!
Back
Top Bottom