Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,504
- 96,996
Beside Kalaga baho ile issue ya kupeleka matunda Kwa gari kiwandani, uli ifanya??Wall-erase job also is job truetrue
Beside Kalaga baho ile issue ya kupeleka matunda Kwa gari kiwandani, uli ifanya??Wall-erase job also is job truetrue
Wall-erase job also is job truetrue

Muhitimu wa Havard nimekusoma pia...Wall-erase job also is job truetrue
Rejea kipengele ( f) kwenye main post pale juu....Juz kuna baunsa kanipiga pale ubena bar kama unaweza vagi tukaliamshe dude ntakulipa 50k


Mkuu una familia au huna?Muhitimu wa Havard nimekusoma pia...
Karibu kwenye chamaz Cha wafanyakaz za kusaka tonge..Muhitimu wa Havard nimekusoma pia...
AmiinKila la heri
rizki au sioMambo ya Rizki haya jamaa angu kwaiyo Kila mtu Mwenyezi Mungu hupatia kwa wakati wake....
Hapana mkuu bado Niko zanzibar. Sijarudi bongoland ila ipo kweli na jamaa wanapiga hela. Nadhani mtaji wako kama unafika 3 m ifatikie mana mkupuo mmoja unapiga mpaka laki 9 kama faida. Jamaa wanachukuaga maembe mkuranga, kilwa na mpaka Lindi na mtwara zile zinaitwa Nchichila. Hata Tanga mkuu.. I swear nikitoka kujitafuta kuja dsm biashara yangu ni hiyoBeside Kalaga baho ile issue ya kupeleka matunda Kwa gari kiwandani, uli ifanya??
Ni pm Kaka tuzungumze vizuri, huenda Kuna mwanga mzuri.Hapana mkuu bado Niko zanzibar. Sijarudi bongoland ila ipo kweli na jamaa wanapiga hela. Nadhani mtaji wako kama unafika 3 m ifatikie mana mkupuo mmoja unapiga mpaka laki 9 kama faida. Jamaa wanachukuaga maembe mkuranga, kilwa na mpaka Lindi na mtwara zile zinaitwa Nchichila. Hata Tanga mkuu.. I swear nikitoka kujitafuta kuja dsm biashara yangu ni hiyo
Ukipita pale mwandege nje ya kiwanda Cha bahresa utakuta gari zinasubiria kupima. Hata ukwaju naskia ni hivyohivyo. Lakin pia ukwaju Zanzibar ni Dili sana mana kina mama wamejiajiri kuuza juisi za matunda. Juisi ni biashara kubwa kwa kina mama unguja na Wengine watume zao ambao ni wanajeshi wanawasaidia kuuza mitaani huko
PoaNi pm Kaka tuzungumze vizuri, huenda Kuna mwanga mzuri.
Nichek pm mkuu kama hutojaliNakam mjasiriamali unawazo la kibiashara la mtaji wa 30 to 50k unaweza leta hapa.....
Liwe la kutembeza au vyovyote vile Mimi Sina noma litafanyiwa kazi
NB:lisiwe la kupika pika
Mkuu kalaga baho naomba namba yako, nahitaji msaada wa taarifa mbili tatuWall-erase job also is job truetrue
Umepotea sanaHawakujui shem hao 😂😂😂
Nilipigwa ban shem 😂😂😂Umepotea sana
Oh, karibu sana. Sasa huwaga mnafanya nn mpaka mnapigwa bani? Mana hizi za bani ni za vijana wanaobalehe humu jf na tunawajua. Wewe ulifanya nnNilipigwa ban shem 😂😂😂
Nimekuja kizimkazi nikashindwa kukutafuta nna ban banah.!! Ila narudi tena July