Recent content by Ricky22

  1. R

    Pata kuku wa kienyeji kwa bei poa.

    Natumai mu wazima wa afya ndugu zangu. Sasa unaweza kujipatia kuku wa kienyeji kwa bei poa kabisaaa ya kuanzia sh elfu kumi mpaka elfu kumi na tano. Hasa kwa wakazi wa mkoa wa Tanga hususan wilaya ya Handeni. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheki hapa Kama unahitaji 0714754910. 💥🙏
  2. R

    Nafasi ya uwakala kwa mwalimu wa Physics na Biolojia

    Mkuu Molembe,,, ndo nahitaji msaada wako ivo
  3. R

    Usikose kupita hapa tafadhali 🙏

    Nipo Tanga mkuu
  4. R

    Usikose kupita hapa tafadhali 🙏

    Nimehitimu mwezi wa tano mwaka huu mkuu.
  5. R

    Usikose kupita hapa tafadhali 🙏

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye ambaye miaka 22 imepita tangu kuzaliwa kwangu. * Ni muhitimu wa chuo ngazi ya diploma kwa masomo ya fizikia na biolojia,,, ila kutokana na eneo nililoko kukosa muamko wa elimu hivyo najikuta nikiwa nimekaa tu bila chochote Cha kufanya walau kujipatia riziki. *Kwa...
  6. R

    Nafasi ya uwakala kwa mwalimu wa Physics na Biolojia

    Wakuu natumai muwazima wa afya. *Mimi ni muhitimu wa mafunzo ya ualimu ngazi ya "diploma" katika masomo ya physics & biology,,, *Nimependa ku- share nanyi uzi huu kwa malengo makuu mawili. 1.Kwa sababu huwezi jua bahati ama rizki iko sehem gani hivyo ni muhimu kushirikisha watu wengine ili...
Back
Top Bottom