Recent content by ricious

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Kupata kipaimara au kutofunga ndoa haijalishi ila kam ulibatizwa unahesabiwa km ni mkatoliki kilichofanya wasusie ibada ni kwamba alikuwa hashiriki jumuiya ndio inajua watu wake hata km alikuwa anaenda kanisani AF hashiriki jumuiya kanisa halimjui kwa hiyo wakuthibitisha km wew ulikuwa unasali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Sio kweli jumuiya ndio inakujua wew na sio kanisa hats km ukiwa unaenda kanisani na usipoenda jumuiyani nothing hutozikwa kwa ibada Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msanii Linah afunguka ashawahi kutoa mimba mara mbili

    Duuuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetumia dawa za kupunguza makali ya VVU ana asilimia ngapi za kueneza UKIMWI?

    Ni Mara mbili tumefanya bila condom lakini tulizingatia maandalizi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetumia dawa za kupunguza makali ya VVU ana asilimia ngapi za kueneza UKIMWI?

    Natamani kwenda kupima ila hata mwezi haujaisha nafanyeje Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetumia dawa za kupunguza makali ya VVU ana asilimia ngapi za kueneza UKIMWI?

    Wana jamii forum naomba ushauri nina mpenzi wangu ambae hapo mwanzo alikuwa ni mzima lakini baada ya kuachana kidogo kuringana na mazingira Mara tulipo rudiana nilimwomba tupime ila alikuwa akinizungusha ila wakati napekua baadhi ya vitu vyake niliona kadi ya mahudhurio ya clinic yaan CTC...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Noma sana ila nijuavyo majukumu ni kusaidiana kila mtu akijua majukum yake ana play part yake Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom