Hivi kweli walikaa chini kabisa wakajadili hili swala kweli au wamekurupuka kabisa maana ,,,,,hiwezekani vifurushi vikawa hivi bhna ,,,,,hivi hawajui kwamba bila sisi hamna kitu watafanya au ,,,,,wasijitie viburi flow aseh Kwanza nashangaa huduma za kijamii moja wapo ni hili swala la internet...