Recent content by Richiethegemini

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mlinzi kama wanamla acha wamle tuu!

    Wapo kweli kwenye 100% maybe 1% tu 😃
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mlinzi kama wanamla acha wamle tuu!

    Mzee Baba sijui kama anaelewa hili 😆😆 ,,
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye Portal ya Wizara ya Afya hakuna kipengele cha maderava wakati kwenye Tangazo wameweka nafasi hizo

    Yes hili ni fake ,,,,Ila lile la wizara ya afya ajira 1625 sio fake watu waelewe hapo maana kuna mchanganiko naona
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye Portal ya Wizara ya Afya hakuna kipengele cha maderava wakati kwenye Tangazo wameweka nafasi hizo

    Hili nalo fake??? Au like la tamisemi ajira za walimu ????maana hili lipo kwenye website ya wizara ya afya 🤔
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaumia sana, utateseka sana kama furaha yako inategemea mpenzi wako anavyoku treat

    Mliaza upya???
  6. R

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Dit pia unaweza kwenda Ila ukasome shule ya pale sio mchezo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Shule ya pale ni vitini tu ,,Ila kama unataka kuwa competate kwenye umeme then ATC au st Joseph ni vyuo Bora kabisa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Dogo nimesoma Arusha tech diploma ,,bachelor MUST ushahuri wangu nenda Arusha tech kasome
  9. R

    JamiiForums Tanzania Biomedical engineering

    Habarini wadau ! Naomba kuuliza kuhusu hii kozi mpango wa serikali katika ajira zake maana ni kama imesahaulika sana au haitambuliki? Tunajua serikali iliajiri mara moja tu toka 2018 shida inakuwa wapi?Mwenye taarifa sahihi ?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mwakani kuna lolote

    Na sisi biomedical technician ndo tumesahaurika dah
  11. R

    JamiiForums Tanzania Biomedical Technicians/Engineers wanasahaulika sana kwenye ajira za serikalini. Tatizo ni nini?

    Me hata sijataka kumjibu naona haelewi chochote
  12. R

    JamiiForums Tanzania Biomedical Technicians/Engineers wanasahaulika sana kwenye ajira za serikalini. Tatizo ni nini?

    Eng Mvanga yupo wizarani ye ndo anatakiwa atupe Majibu
Back
Top Bottom