Recent content by richie de king

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye makundi mengi ya WhatsApp ni ujanja au ushamba?

    Inategemea unazitumiaje. Wengine wanatumia groups kujitangaza asa kibiashara. Lkn km ni kuchat tu mambo ya kawaida ni ushamba
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa mbegu ya kuroiler

    Kna mtu anafuga chotara ntakuunganisha nae. Ila izo Kuroiler hana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa mbegu ya kuroiler

    Habari za mda huu wadau?. Ninahitaji mbegu ya kuku KUROILER kutoka kwa mfugaji aliepo MWANZA.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba ya kilimo Geita

    Ntakuchek mkuu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Tusipeleke lawama tu kwenye vyuo, sku iz watanzania(wanachuo) wanapenda anasa mno, kusoma hamna, assignment wanafanyiana ata test af tuongoze? Wanashinda kwenye mitandao kujadil utumbo( Diamond, Ronaldo, mambo ya club nk) kiufup wanatumia asilimia chache sana kujisomea nje ya lecture. Wanasoma...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Hamna mkuu saiv UDSM imeshuka sana mana miaka iliyopta ata top four ilikua inaingia bt ni kile kpind ss tunasoma. Af inabd mjue vigezo sio elimu tu kwenye ranking wanafuatilia mambo meng ata miundombinu na mambo mengne meng.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba ya kilimo Geita

    Habar zenu wadau! Hope mnaendelea vzuri na miangaiko ya hapa na pale. Naulizia mashamba ya kukodi au kununua kwa mkoa wa Geita. Vigezo ni maji yawe krb either krb na mto au ziwa na liwe virgin af bei nafuu, maana hari ya uchumi nafkir mnaifaham kwa sasa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Mi nataka kulima Geita. Je inakubali ardhi ya Geita?
Back
Top Bottom