Recent content by richardwilium

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais JK amsaliti mwl Nyerere

    Nakukubali, tunatakuongeza au kupunguza bajet ya serekali ambao ni mzigo kwa walipa kodi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania "jamhuri" tatu taifa moja.

    Serekali tatu ni mzigo napendekeza iwe mbili, kwani serekali huendeshwa kwa Lodi za wananchi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

    Nakubali utabiri kwa hao waheshimiwa Kwani mi natokea kati hayo majimbo kweli wameacha kutetea maslahi ya wapiga kura na kuanza kutafuta umaarufu kwa kupinga hâta mambo ya maendeleo.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Nape Sacha kumwandama Lowasa, haumwezi kwani anakubalika hataufanyeje. Lowassa ni mchapakazi na mwadilifu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

    Huo ni upotoshaji na kuogopesha uma Wa watanzania Edward Lowassa si mtu wakulipa vizazi. Ni mchapa kazi na hana ubaguzi ni mpenda maendeleo ,tembelea Jimbo lake uone. Jamani tumuunge mkono.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Lowasa pekee ndiye atakaye weza kuikomboa Tanzania na umsikini kutokana na sera zake nzuri na ujasiri mkubwa alio nao.
Back
Top Bottom