Watanzania wengi ni wajinga katk kufikiri, nimeona wengi wanamshambulia musiba kwa matusi bila kuelewa hoja zake zinamaana gani Mimi niwaombe watanzania wenzangu acheni ujinga na upumbavu wa kutumika kisiasa kwa ujinga uliokithiri msipende kujibu wakati uwezo wenu ni mdogo mambo hatari kama hayo...
Mimi namshauri tu asome kwa bidii ili baadaye aje kuwa msaada kwa taifa lakini mambo ya kujiingiza kwenye masuala ya siasa na kutaka kuwapaka watu matope aache kwani bado kijana mdogo sana, huyu atapoteza jitihada zake ktk masomo kwa ajili ya kutumiwa na wanasiasa ambao tayari maisha yao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.