Ni kweli Afrika inatakiwa idai yote yaliyo yake (rightful ours) lakini hebu tujiulize hao weupe walioko Misri watakwenda wapi!. Hii ni sawa na Afrika kusini. Ila kwa Misri ni zaidi kwani Wabantu hawapo kabisa na kama wapi ni wachache mno kuweza kuanza kupigania ardhi yao.
Uingiliaji wowote...
Kama dunia ingalikuwa tanbarare basi ingalikuwa na mwanzo na mwisho. Hebu kwa mfano kodi ndege kubwa yenye uwezo wa kusafiri mwendo mrefo kisha ondoka nayo Dar es Salaam elekea kaskazini au kusini bila kusimama wala kupinda uone kama hujarudi tena Dar. Au elekea magharibi au mashariki kisha uone...
Martin Luther hakuwahi kuwa Askofu. Moja ya sababu zilizomfanya ajitenge ni pale alipoukosa Uaskofu alioutarajia kwa hamu kubwa kwa sababu alikuwa anapendwa na waamini wengi wa mji huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.