Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    540
-Hii thread inaonesha kuna watu ni wavivu sana wa kujifunza na kusoma.

-Mleta mada ameshaelezea kuwa jua ndio linazunguka dunia na sio dunia kulizunguka jua. Lakini cha ajabu watu bado wanaendelea kuuliza swali hili.

-Mwanzoni wa Thread mleta mada alisema kuna kundi la watu ndio wapo nyuma ya haya mambo, so hiki kikundi sio kipo Marekani tu au Russia tu. NO kipo kila mahali. Na hiki kikundi ndio kimeaminisha jamii kuwa mwanadamu ametokana na Sokwe.

-Tuliambiwa kuwa wanadamu tumetokana na nyani na akilini mwetu tukakataa katakata kabisa. Je, una uhakika gani kukwmabia kuwa dunia inalizunguka jua?

Mungu alimwambia Joshua, Simamisha Jua ili upigane vita na Jua likasimama, kwanini asingesema simamisha dunia ikiwa dunia ndio inajizungusha?

Kikundi gani hicho kilichosema binadamu anatokana na nyani? Weka jina usiongee bila kuwa na facts. Hakuna mwana science anaesema binadamu alitokana na nyani na hakuna mwana science anaesema dunia ni flat hayo yote mnayosema nyie ni conspiracy theories sio facts. Dunia kuwa duara anajulikana tangia enzi za zamani sio jambo jipya. Wewe sema hicho kikundi chako kilianzishwa mwaka gani?
 
Kikundi gani hicho kilichosema binadamu anatokana na nyani? Weka jina usiongee bila kuwa na facts. Hakuna mwana science anaesema binadamu alitokana na nyani na hakuna mwana science anaesema dunia ni flat hayo yote mnayosema nyie ni conspiracy theories sio facts. Dunia kuwa duara anajulikana tangia enzi za zamani sio jambo jipya. Wewe sema hicho kikundi chako kilianzishwa mwaka gani?
-Majibu yangewezakana kabisa kuwepo lakini nisingependa tufike huko sababu tutaondoa kabisa lengo la hii Thread.

-Hongera zako wewe ambaye hukufunindishwa mwanadamu asili yake ni nyani na katika mitihani haukujibu hivyo ili usonge mbele.

-Sidhani kama kile kifaa cha Carbon 14 kilitengenezwa na mwanahistoria na sio mwanasayansi.

Yote kwa yote Mkuu naomba yaishe.

-Acha tujikite hapahapa dunia kuwa tambarare.
 
“And the earth, moreover, hath He made egg shaped.”
[Al-Qur’an 79:30]



The Arabic word for egg here is dahaahaa1 which means an ostrich-egg. The shape of an ostrich-egg resembles the geo-spherical shape of the earth. Thus the Qur’an correctly describes the shape of the earth, though the prevalent notion when the Qur’an was revealed was that the earth was flat.

Hii ni kwa mujibu wa quran ambao umeendana sayans ya leo kuwa dunia sio flat wa duara ila ipo kwa mfano wa umbo la yai la mbuni ipo kwenye umbo la sphere.!
Mtoa mada elewa kuwa Quruan ilikuja miaka 600 baada ya Bible. Hata hivyo Galilei Galilaya alishatoa theory yake kuwa dunia ni duara miaka mingi nyuma.
 
Kama dunia ingalikuwa tanbarare basi ingalikuwa na mwanzo na mwisho. Hebu kwa mfano kodi ndege kubwa yenye uwezo wa kusafiri mwendo mrefo kisha ondoka nayo Dar es Salaam elekea kaskazini au kusini bila kusimama wala kupinda uone kama hujarudi tena Dar. Au elekea magharibi au mashariki kisha uone kama hukurudi palepale. Lakini pia hali utakayo kutana nayo kwa safari ya kwanza ni tufauti kabisa na hali utakayo kutana nayo kwa safari ya pili. Kujiridhisha na ukweli kuwa dunia ni duara ni pale unaposafiri kwa ndega inayoruka usawa wa juu (ft 40,000au zaidi) kutoka usawa wa bahari uwe kwenye skyless weather ukichungulia dirishani utaona uduara wa dunia japo kwa mpindo mdogo. Lakini vilevile nenda ufukweni mwa bahari angalia kwa makini utaona uduara wa dunia.

Hii flatearth society ni kikundi kama kilivyo Illuminati au Freemason. Waweza kuta kimeanzishwa na wamarekani wanao amini katika nwo (new world order) anbao kazi yao ni kupinga kila ambacho hakikuanzishwa na wamarekani. Wao wana naono yao kuwa "Kilicho bora ni kile kilichotengenezwa Marekani". Hii inahusisha mpaka kwenye imani za dini. (dini bora ni ile iliyoanzishwa marekani).
 
Kama dunia ingalikuwa tanbarare basi ingalikuwa na mwanzo na mwisho. Hebu kwa mfano kodi ndege kubwa yenye uwezo wa kusafiri mwendo mrefo kisha ondoka nayo Dar es Salaam elekea kaskazini au kusini bila kusimama wala kupinda uone kama hujarudi tena Dar. Au elekea magharibi au mashariki kisha uone kama hukurudi palepale. Lakini pia hali utakayo kutana nayo kwa safari ya kwanza ni tufauti kabisa na hali utakayo kutana nayo kwa safari ya pili. Kujiridhisha na ukweli kuwa dunia ni duara ni pale unaposafiri kwa ndega inayoruka usawa wa juu (ft 40,000au zaidi) kutoka usawa wa bahari uwe kwenye skyless weather ukichungulia dirishani utaona uduara wa dunia japo kwa mpindo mdogo. Lakini vilevile nenda ufukweni mwa bahari angalia kwa makini utaona uduara wa dunia.

Hii flatearth society ni kikundi kama kilivyo Illuminati au Freemason. Waweza kuta kimeanzishwa na wamarekani wanao amini katika nwo (new world order) anbao kazi yao ni kupinga kila ambacho hakikuanzishwa na wamarekani. Wao wana naono yao kuwa "Kilicho bora ni kile kilichotengenezwa Marekani". Hii inahusisha mpaka kwenye imani za dini. (dini bora ni ile iliyoanzishwa marekani).
Sasa mbon hakuna safari za ndege kati ya moscow urusi na jberg south africa ya moja kwa moja bila kupitia nchi nyingine za afrika na ulya. It means ukiwa south afrika na ukaelekea upande wa kusini tuu basi baada ya bra la barafu utakutan na urusi na ni karibu zaidi. Pa fuatilia njia walizopita watu waliyoizunguka dunia kwa ndege, mbona wnatumia northpole zaidi kuliko southpole
 
Sasa mbon hakuna safari za ndege kati ya moscow urusi na jberg south africa ya moja kwa moja bila kupitia nchi nyingine za afrika na ulya. It means ukiwa south afrika na ukaelekea upande wa kusini tuu basi baada ya bra la barafu utakutan na urusi na ni karibu zaidi. Pa fuatilia njia walizopita watu waliyoizunguka dunia kwa ndege, mbona wnatumia northpole zaidi kuliko southpole
Na hapo ndo unapozidi kuingia chaka... Ndege sio basi mkuu ndo maana ukifatilia ramani ya ruti za ndege hazijanyooka kutoka kituo kimoja hadi kingine ila zinanyooka kutoka waypoint moja hadi nyingine.. Sababu ni kuwa kuna mambo mengi ya kuangalia mpaka ruti iwe official haswa hali ya hewa.. Kuna baadhi ya maeneo hutaona ruti za ndege za abiria sababu ya hali ya hewa isiyotabirika ila haimaanishi hakuna ndege inayopita kabisa..zipo ndege zinapita hayo maeneo..
Huko southpole kuna mpaka Airport za kwenye barafu kwa ajili ya ndege za watafiti mbalimbali au wanajeshi..fuatilia
 
Naona sasa uwezekano wakututoa kwenye elimu na kutuingiza shimoni..

Kuna theories nyingi mno za kujibu...
Ki utafiti..
 
Na hapo ndo unapozidi kuingia chaka... Ndege sio basi mkuu ndo maana ukifatilia ramani ya ruti za ndege hazijanyooka kutoka kituo kimoja hadi kingine ila zinanyooka kutoka waypoint moja hadi nyingine.. Sababu ni kuwa kuna mambo mengi ya kuangalia mpaka ruti iwe official haswa hali ya hewa.. Kuna baadhi ya maeneo hutaona ruti za ndege za abiria sababu ya hali ya hewa isiyotabirika ila haimaanishi hakuna ndege inayopita kabisa..zipo ndege zinapita hayo maeneo..
Huko southpole kuna mpaka Airport za kwenye barafu kwa ajili ya ndege za watafiti mbalimbali au wanajeshi..fuatilia
Sasa usibishe kuwa kuna uwezekano wakudanganywa, haya hizo za jesi na za watafiti huwa zina uwezo wakutabiri hali ya hewa au wanatumia sababu hizo ili kificha ukweli.... Ina maana kaweza kwenda anga za mbali na anaplan yakupeleka na abiria ila kuwavusha antaktika ni issue?
 
Nimecheka sana watu tunapata shida sana bila ya kujua kuna upeo(horizons)huu ni mwisho wa ukomo wa jicho la mwanadamu lililoumbwa kuwa ROUND ,so chochote kile kinachotumia kuonea mbali kama camera nayo lazima KUTENGENEZA kwa mfano wa jicho,sasa huwezi kusema Dunia ni DUARA wakati jicho ni DUARA pia.(usikurupuke km hujanielewa kaa kimya)
 
Kitabu chako cha Dini kimeandika Uwongo ,hangaika uhangaikavyo lakini ukweli utabaki palepale , Huu ubichi ulikuwepo zamani sana sio sasa hivi kila kitu kinaonekana .Na hivyo vitabu ulivyo vitumia vyote vya wazungu waliandika kabla yakujua ukweli ,wewe leo hii ndiyo unaamka usingizini unataka ubishane kwa hoja za miaka elfu iliyopita.
 
Kitabu chako cha Dini kimeandika Uwongo ,hangaika uhangaikavyo lakini ukweli utabaki palepale , Huu ubichi ulikuwepo zamani sana sio sasa hivi kila kitu kinaonekana .Na hivyo vitabu ulivyo vitumia vyote vya wazungu waliandika kabla yakujua ukweli ,wewe leo hii ndiyo unaamka usingizini unataka ubishane kwa hoja za miaka elfu iliyopita.
hahaha hahahah nacheka kwa kidhungu
 
ukishakua na akili mgando kwenye dini matokeo yake ndio hayaa............!! We binuka, jipinde, Science haidanganyii and u cant change reality.......... na ukwelii ni kwamba dini zinaharibu fikra za watu ata kama kitu kishakua proven kwasababu tuu kwenye vitabu vyenu visivokua na ukwelii ndani yake vimeeleza kivingine hamwezi kubali
Ukilewa Sayansi utadanganywa na binadamu wenzako na kufanywa kama ndondocha kwa kuamini vitu ambavyo unapandikizwa bila kutumia akili yako, ukitumia akili za binadamu wa kawaida kutafakari utagundua kuwa dini iko sahihi kabisa kuhusu Dunia yetu.
 
Ukilewa Sayansi utadanganywa na binadamu wenzako na kufanywa kama ndondocha kwa kuamini vitu ambavyo unapandikizwa bila kutumia akili yako, ukitumia akili za binadamu wa kawaida kutafakari utagundua kuwa dini iko sahihi kabisa kuhusu Dunia yetu.
Non sense
 
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa elimu unamakosa mengi.

Tafakari ni mambo mangapi ambayo ulifundishwa shuleni lakin hukuwahi kuyatumia maishani mwako, na ni mambo mangapi hukuridhishwa na majibu yake ukiwa mdogo au hata mtu mzima ni mengi sana, how many laws, principals, theories and formulas you did not actually understand at all but cram them just to answer the exam. or how many things that do not make sense in real life ni mengi pia.

Ni wazi kwamba mfumo wa sasa wa elimu uliletwa na mkoloni kwa malengo yake ya kutawala watu weusi. Kinachonisikitisha ni kwamba bado tunatumia mfumo uele wa mkoloni alioleta kututawala. its amazing to see that most of the text books we use in schools are written by white people or Indians and we are proud, ingawa tuna miaka 54 ya uhuru.

Tunapata shallow knowlegde kuhusu historia ya mtu mweusi kabla ya kutawaliwa na mtu mweupe.
hata ssa hvi bado tunapewa mitahala na UN under common wealth countries inashangaza sana.

JARIBU KUA NA OPEN MIND NA UTAFAKARI KWA KUTUMIA UTASHI ULIOPEWA.

Tuongelee Dunia
Nadhani kila mtu hapa alifundishwa kuhusu umbo la DUNIA
according to wikipedia (Muundo wa dunia
unafanana na tufe kubwa yenye rediasi ya 6370 km kwa wastani[1]. Tufe la dunia yetu imeundwa kwa tabaka mbalimbali. Sayansi ina njia kuzitofautisha kufuatana na tabia zao.) hivi ndivyo wote tumefundishwa swali muhimu ni kujua maana ya tufe ni nini ?

(picha na maelezo kutoka wikipedia)



Picha ya tufe

Rediasi au nusukipenyo (= r) cha tufe
Tufe ni umbo la gimba linalofanana na mpira au chungwa. Lakini wala mpira wala chungwa ni tufe kamili.

Mwaka huu 2016 tunashuhudia ssa hivi DUNIA ipo katika maendeleo na mafanikio makubwa ya technolojia na sayansi (dunia ya utandawazi)

According to NASA {nadhani wote mnatambua NASA ni nini !!!} safari ya kwanza ya mafanikio kwa binadamu kutua mwezini ilkua mwaka 1969 jully kinachonishangaza pamoja na mafanikio yote ambayo mwanadamu ameyapata mpka sasa hakuna picha halisi ya Dunia duara au tufe picha zote za dunia tufe au duara ni CGI (computer generated image) mara nyingi picha za aina hii huwa na muonekano kama picha halisi lakin sio halisi kwa sababu zinatengenezwa na photoshop au program nyingine za kutengeneza CGI nadhani watu wenye ujuzi wa media na graphics mnaelewa nnachojaribu kuelezea hapa.

Dunia duara (spherical earth) iligunduliwa na (The discovery that the Earth is round is most commonly ascribed to the ancient Greek philosopher Pythagoras, while the credit for proving it is usually given to Aristotle. It appears that most ancient Greek philosophers that followed him believed in a round Earth. Since the records from that time are not perfect, it is quite possible that someone before him was aware of the Earth's round shape.)

Kwa ufupi tunaona kwamba dunia duara ipo mda mrefu sana lakin mpaka leo hakuna picha halisi ya DUNIA yenyewe unaweza kugoogle tafta '' picture of earth from space''

PICHA YA DUNIA KUTOKA MWEZINI ANGALIA TOFAUTI ZILIZOPO
images


images


Na pia kumbuka kwamba Dunia ina mizunguko miwili according to science na hizo spidi ni kali sana. Kwa mfano mzunguko wa usiku na mchana ni kilometer 1000 kwa lisaa hii ni spidi kubwa sana. Mara nyingi tulipokua wadogo tulkua tukiuliza inawezekanaje dunua inazunguka kwa spidi kubwa sana lakin hatuoni chochote, WAALIMU walitwambia ni GRAVITY au gravitation force ndo inavishikilia vitu vyote visidondoke kutoka duniani.... mara nyingi katika topic hii mwanafunzi anakua anajaribu kutafakari haya yote yanawezekanaje lakin jibu kamili hua halipatikani.


rounwrld.jpg

Nadhani mpaka ssa hvi utakua atleast umepata mwelekeo kidogo.. hili swala lipo deep sana na lipo connected mambo mengine mengi ulimwenguni.

Ukweli mwizito ni kwamba dunia ni tambarare na haina mzunguko wowote yani imetulia (fixed) na wanaojulikana kama (ELITES =a select part of a group that is superior to the rest in terms of ability or qualities.) hawa ni watu wanaoiongoza dunia kiutawala kiuchumi kidini na mambo mengine mengi kupitia mitandao yao ilioenea dunia nzima ..hili swala la elites pia linaweza kuzungumziwa separate kwasababu nalo lilpo deep na nivizuri kutambua njinsi media pia zinavotumiwa na viongozi katika uongozi.. kabisa kama nlivosema mwanzo mambo mengi yana husiana (everything is connected) ivi ulishawahi kujiuliza kwanini ramani ya dunia ambayo ipo kwenye bendera ya umoja wa mataifa ipo tofauti kabisa.
images

Bendera ya umoja wa mataifa

Jiulize kwanini ramani ambayo inatumiwa na umoja wa mataifa ni tofauti kabisa na ramani za kawaida? na ijulikane kwamba alama zote za bendera duniani au michoro yoyote kwene bendera inamaana flani au inaashiria kituflamni katika jamii au katika historia kiujumla.

Hii inamaanisha kwamba umoja wa mataifa wanajua kitu kuhusu dunia tambarare. Lakini kwanini wanatuficha?

un.png


Okay tuzungumie kuhusu dunia kua tambarare kwa undani kabisa na ushaidi
ngoja nielezee kwanza muundo wa dunia kutokana na reerch ya flatearth society.

Hoja ni;
Dunia ni tambarare na haizunguki yenyewe wala haizunguki jua bali jua na vitu vyote angani vinaizunguka dunia na milango yetu yote ya fahamu inatuambia hivyo maana jua tunaliona kila siku linavyotuzunguka kwasabu tunaliuona mizunguko yake na pia mwezi na nyota vyote vinatuzunguka hivi ndivyo fahamu zetu zitatuambia na ndo ukweli in short THE EARTH IS THE CENTER OF THE UNIVERSE. Na hili jambo lilikua linajulikana miaka 500 iliopita na pia DINI zote za kale na sasa walizungumzia kuhusu dunia kua katikati ya kila kitu. mfano mzuri ni katika BIBLIA katika kitabu cha mwanzo mungu alielezea vuzuri tu umbo la dunia yetu
Flat-Earth-Memes-57-6.jpg
images

Lakini chakushangaza binadamu tunakataa jinsi fahamu zetu tano zinavyotutuma achilia mbali milango yetu ya fahamu pia katika dini hili swala limezungumziwa lakin bado watu waaamini picha za NASA kwamba wameenda mwezini embu jaribu kukaanje skumoja usiku alafu angaliua mwezi vizuri kwa macho yako na unambie kama kuna mtu kaenda kwene mwezi
  • Dunia ni tambarare na maji yote ya bahari yameshikiliwa na kuta za barafu zilizozunguka dunia nzima
  • images
    images
    images
kama kuna mtu yoyote duniani anae weza kutonesha na kuthibitisha kua dunia ni duara maana yake dunia sio duara na HII infahamika toka zamani
na itambulike vita kati ya dini na wanasayansi na wanafilosofia wa zamani
DINI ZA DUNIA ZILINAJUA DUNIA NI TAMBARARE
1318069305657.png



The Earth has a radius of approximately 3965 miles. Using the Pythagorean theorem, that calculates to an average curvature of 7.98 inches per mile or approximately 8 inches per mile.
hii inamaana kua dunia inaanza kupinda au ku curve kwa nchi 8 kwa mile moja hii inamaanisha kwamba kwamfano kuna point mbili A na B mtu wa A hatoweza kumuona mtu wa B alie mile kumi au hata ishirini je hii ni kweli?
angalia kwa makini uelewe
bedford-experiment.jpg
bedford-rowbotham.jpg


Hii ilijulikana sio kweli kwasababu ya uwepo wa camera na vifaa vyenye nguvu kwa watu tofauti na zamani hizi zifuatazo ni picha zinazoonesha umbali mkubwa ulioweza kuonekana katika camera na vifaa vingine na zote hizi hazioneshi curveture yoyote angalia
bedford-level.jpg
flat-earth-is-flat.jpg

Nimejaribu kutoa mwanga tu kwa wataopenda kujua ukweli na kufatilia kuhusu flat earth nenda utapata kila kitu IFERS

Ukitaka kuelewa hili swala pamoja na mambo mengine usiyoyajua na agenda za dunia fatilia kuhusu
JARIBU KUFATILIA UKWELI SSA HVI KUNA MAKUNDI MENGI YA WATU WANAAMKA NA KUGUNDUA HAYA MAMBO KIMSINGI HUU NDIO UKWELI WA MSINGI WA KWANZA .. SABABU ZA HAWA ELITES NA INTERNATINALISTS KUFICHA HUU UKWELI PIA ZIPO ,,,,,,, CATCHUP TO REALITY FATILIA KUHUSU DUMBING DOWN OF THE SOCIETY NA THE USE OF MEDIA ON MASS CONTROL
HAYA YOTE NI KUTUFUNGA TUSIJUE UKWELI?/
KUMBUKA THOSE WHO CLAIM TO HAVE THE TRUTH ARE EASILY DECEIVED
  1. PIA FATILIA KUHUSU WHY NO ONE IS ALLOWED TO GO TO ANTARTICA
  2. FLATEARTH SOCIETY YOU TUBE INA VIDEO NYINGI KUHUSU HILI SWALA
  3. THE BEST NARRATOR IS ERIC DUBAY ACCORDING TO ME
  4. PIA FATILIA KUHUSU CHEMTRAILS AND FOOD POISONING
  5. KIKUBWA FATILIA KUHUSU UWEZO WA BINADAMU KIROHO/NAFSI PIA KUHUSU PINEAL GLAND NA THIRD EYE HII HAINA MAUSIANO NA DINI ZETU INFACT KILA MTU ANATEZI KATIKATI YA UBONGO INAITWA PINEAL HII NDIO HUMFANYA MWANADAMU KUA NA UWEZO WA KIROHO NA NAFSI ...HAYA MAMBO YAPO LAKIN HATUFUNDISHWI ..
  6. PIA FATILIA KUHUSU NEW WORLD ODER KIUNDANI
  7. PIA JARIBU KUFATILIA ANCIENT HISTORY AND KNOWLEDGE ( ANCIENT CIVILAIZATION)
  8. FATILIA ATLANTIAN CONSPIRACY
  9. THERE ARE NO SETTEKITES IN SPACE
  10. NASA IS A HOAX
  11. GLOBAL WORMING AND CLIMATE CHANGE IS A HOAX
  12. PIA FATILIA GEORGIA GUIDE STONES
  13. KIUFUPI BINADAMU TUNAUWEZO MKUBWA SANA LAKINI HATUJITAMBUI
  14. MANY OF THE THINGS WE KNW ARE JUST ALLEGORIES AND PLANE FACE LIES
  15. HII HAIWEZEKANI.......

WE ALL LIVE FOR A PURPOSE AND THE EARTH IS THE CENTER OF THE UNIVERSE
BIG BANG NA EVOLUTION THEORIES NI UMBEA NA PROPAGANDA

THIS POST WAS PUBLISHED BY ERIC DUBAY @ATLANIAN CONSIRACY BOOK
For daring to spread this most important and overlooked truth, I have received death threats, lost friends and family members, had my forum shut down, and been kicked off Facebook thrice and counting. As damning and easily provable as is this fact of Jewish Freemason control, there is one other incredible fact which has also been held from humanity for 500 years now. This fact is even more damning and more easily provable, and is also a direct result of the Jewish Freemason control over the minds of the masses worldwide. It is the most marginalized, ridiculed, censored and hidden fact in history. If this fact was made known to the world at large, just this one fact, has the power to completely transform the world and everyone in it for the better, holistically, in a myriad of ways. Our rulers are well aware of this, and that is exactly why this truth has been held from us so expertly for so long. It is about the truth of who we are, where we come from, the actual position and significance of humans, Earth, the Sun, Moon, and stars.

The fact is: The Earth is flat and motionless. That is all. And that is the revelation that will finally break the matrix. You have been taught from the earliest ages that you live on a spinning ball. That NASA has sent men to the Moon, that satellites are hovering in perpetual orbit overhead, that an International Space Station contains astronauts free-floating above us, that the Earth is a ball that tilts, wobbles, spins on its axis and revolves around the Sun, and that all these and you are the result of a Big Bang cosmogenic explosion 14 billion years ago which created everything out of nothing. Yet nothing could be farther from the truth.

13254105_10154190157034293_7954312585114140960_n.jpg


The truth is simple and easily proven. You can see for yourself the horizon is always flat and you can measure using sextants, theodolites, and lasers to prove the Earth and its massive oceans have absolutely no curvature whatsoever. You can feel for yourself that the Earth beneath you is motionless and you can measure as Michelson, Morley, Gale, Sagnac, Airy and other scientists have to prove that the Earth is completely motionless. That's right. It has been long proven by several scientific experiments, even in the elitist "peer-reviewed journals" you critics constantly harp on about, that the Earth is a stationary plane. The reason you haven't heard about it before is because the media is controlled by the same people who created this deception. The only time you have ever heard a "Flat Earther" mentioned in the media, it was in jest or ridicule. The only thing you have ever heard about "Flat Earth" is that its adherents are ignorant idiots. Sorry to burst your space bubble, but if you still think you're living on a spinning ball in 2016, you my friend, are the ignorant one.

13615254_10154988989848916_7297770299845639125_n.jpg


Millions of people worldwide are waking up to this incredible re-discovery and this "Flat Earth movement" has the potential to bring about positive change on a unprecedented level. Like a balloon held underwater for 500 years, the momentum of truth rising to the surface is causing and will continue to cause huge ripples in the control system. As the spinning ball-Earth is finally being exposed worldwide for the 500 year deception it was, Earth's entire population is suddenly being faced with the reality that every government, every space agency, university, secret society, religious organization, mainstream and alternative media outlet have ALL been duplicitous in propping up a monstrous manipulation to fleece and control the masses. The resulting mass mental exodus away from the control system is exactly what humanity needs. Once the flat Earth truth gets out, these lying politicians, spokesmen, reporters and teachers suddenly change from being heralded voices of authority to being ridiculed, shunned and denounced as they deserve. Once the flat Earth truth gets out, these governments, universities, media outlets and other entangled organizations which have long been hard at work weaving this multi-generational cosmological myth, suddenly and completely lose all credibility. Once the truth of our flat Earth gets out, so does the truth of these few elite families/societies who have kept this most important and fundamental reality from us for these hundreds of years! Essentially, once the flat Earth truth gets out, so does every other important truth by proxy, because this "mother-of-all-conspiracies" holds under its umbrella literally ALL of the other conspiracies, and exposes them.

As a result of deeply understanding this and wanting to bring about a better world, it has become my life mission to spread the flat Earth truth to everyone. I have written two books on the subject, "The Flat Earth Conspiracy" and "200 Proofs the Earth is Not a Spinning Ball." I have re-started the International Flat Earth Research Society and maintain a website with hundreds of articles on the subject. I have done flat Earth radio interviews, made flat Earth FAQs, flat Earth shirts, written flat Earth rap songs, audio/video books, documentaries, and created every other kind of media I can think of to try and promote this message.

Now in just a few short years, thanks to the efforts of the rapidly growing flat Earth community, this has gone from a completely unknown, undiscussed topic to one of the highest ranked google search terms on the internet with tens of millions of hits monthly. If you still haven't done your due diligence in researching to know for yourself 100% that you are living on a flat, stationary plane, please look into the links provided. And for those of you who do know, I implore you to help my mission Operation: Spread Flat Earth Truth.

Simply knowing the truth yourself will not and cannot save the world. The only way to save the world is for the whole world to know the truth. As a means to that end, the most important type of activism anyone can be doing right now is spreading these important truths on a mass scale. There are innumerable creative ways to help achieve this; the following are several effective methods myself or friends have had success with:

1. Conversation: One of the best ways to engage people with the flat reality is through conversation. Asking leading questions, dropping hints, or just telling people various proofs and evidences is a great way to wake people up. This only works, however, if you are very knowledgeable about the subject yourself and able to answer every possible question without hesitation like the liars at NASA do.

2. Viewing Parties: Another good way to engage people is by getting them to agree to sit down and watch an informative documentary on the subject such as my videos "The World's Biggest Secret," or "The Masonic Matrix Manipulators" After watching you can then do your best to field any questions people may have.

3. Book Gifting: A great indirect way of engaging people is by buying and giving them copies of "The Flat Earth Conspiracy" and "200 Proofs the Earth is Not a Spinning Ball" or other good books on the subject. If you own flat Earth books yourself, be sure to let friends and family borrow them as well.

4. School Projects: If you are currently in school or university, a great way to expose this information is by writing essays or doing projects which tackle various aspects of ball-Earth pseudo-science or expose true flat Earth findings.

5. Social Media: I have had great success using social media to spread flat Earth truth. Simply create accounts with all the big social media sites like Facebook, Google+, Twitter, LinkedIn, Instagram, Reddit, StumbleUpon etc., join relevant groups and pages, follow people interested in related subjects, and post the best flat Earth material you can find to as many places as you can, as often as you can. Don't bother arguing with the trolls and closed-minds that will inevitably hound you, but rather focus on dissemination, spreading the message far and wide. If people ask genuine questions, be sure to answer, but anyone merely looking to ridicule should be left alone to talk with themselves.

6. Use YouTube and Other Video Sharing Sites: With 13 million hits and growing, my YouTube channel has done an excellent job spreading this message. We need more people to start flat Earth YouTube and other video sharing site channels, however, either creating original content or just re-uploading other good content. I personally have given everyone permission to use any/all of my content to help spread the word. Once you upload a new video to YouTube, then go to all your social media accounts and post each new video to all the relevant pages, groups and timelines you can.

7. Translations: For multi-lingual flat Earthers, one of the best things you can do is help translate good flat Earth material into your native tongue. My book "200 Proofs Earth is Not a Spinning Ball" has now been translated into 12 different languages and counting, reaching people who would otherwise never have a chance of understanding this material, the majority of which currently exists only in English.

8. Graffiti/Artwork: Another great method of spreading the word is through artwork or graffiti. Writing important search terms or keywords and phrases on paper money is also very effective. On the borders of your dollar bills, simply write AtlanteanConspiracy.com, IFERS.123.st, the Earth is Flat!, Google Flat Earth, Google Eric Dubay, or other such messages.

9. Pamphleteering/stickers: Creating small brochures or stickers with flat Earth information on them and handing them out in public spaces is an excellent way to spread the word. Compile several photo proofs or text proofs and put them in an easily printable and readable format then hand out as many as you can.

10: Radio/TV Show Call ins: Many different TV and radio shows give their viewers/listeners the opportunity to call in and talk with the host about certain subjects. A great way to spread the word is either by calling into these shows and engaging them on the subject on the spot, or contacting their producers before-hand and seeing if you could actually be interviewed.

There are an infinite number of creative ways we can spread this most important message, but the key is numbers and consistency. We need to hit a critical-mass tipping-point of awakened individuals dedicated to helping unplug everyone else from the spinning ball-Earth matrix. If you have figured out the truth of our flat Earth and realize the amazing positive implications of this being exposed worldwide, please join me on my mission to help spread flat Earth truth to the entire flat world
empty.gif
by Cannalive on Sat Oct 29, 2016 11:25 pm

I was told about this in jest. But once I got curious, I openly learned more and became awake. If you truly want to wake up and find the edges of your cage, you eventually cannot get over the hurdle of flat earth. Even when meeting a new friend and getting high together we both subconsciously brought up flat earth during our discussion, not really taking it seriously...until I said something that blew his mind. A simple truth about time zones if the sun was so far away. That was when I realized we have so much ability to slip into someone's conscious thought by redirecting away from the subject itself head on and slip through one of the many backdoors of logical.
 
Jina "Boko Haram" linatokana na lugha ya Kihausa likimaanisha "vitabu ni
haramu " yaani "elimu ya kimagharibi ni haramu au dhambi".
Mleta huu uzi naona wewe ni Boko Haram. halafu unatumia elimu hiyo hiyo ya magharibi kukosoa elimu ya magharibi. wenzako hizo hoja walizitumia mwaka 1600 wakati vifaa vya kisayansi hawana leo hii wana kila kitu, wanaona Dunia yote unaenda kuwabisha kwa hoja zao walizotupa. Lazima ukubali qurani ilikosea dunia sio flat
 
umejitaidi kupunguza bando lako kwa kuchukua mijadara ambayo wanajua wanacho taka kupotosha uma ili wapige pesa.au na wewe ushakuwa UFO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom