Sio kila mahusiano lazma tupate mtoto au tuoane, normally ni shule kwa ajili ya kufaham namna ya kuishi na mke hapo badae.
na wanaume wa siku hizi wanachelewa kuoa 7bu ya kutafuta maisha na shule pia,sasa ukijilengesha ukapigwa mimba ucjihakikidhie tiket ya kuolewa mana imekua km fashion kwa...
Nchi yeyote huendeshwa kwa kufuata katiba ya nchi na sio kuamka na kusema mikutano ya kisiasa marufuku wakat IPO kisheria na kikatiba,,,tatzo vijana wa Lumumba hua mfikiria na nn cjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.