Habari zenu wana JF...!!
Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia.
Mawasiliano yangu: 0653717447
Ahsante
1. Una uzoefu na kazi gani...?
2. Kiwango chako cha Elimu...!?
3. Unaweza kufanya kazi gani..!? Hakuna anaeweza kufanya kazi yoyote/ Kila kazi.
Ahsante.
Kupata Maswali moja kwa moja itakuwa ngumu labda kama kuna mtu alipiga picha Mtihani aliofanya, kitu ambacho sio rahisi Kutokana na usimamizi uliopo kwenye ufanyaji wa hio Mitihani.
Kwa uzoefu wangu kwenye Nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la pili, maswali mengi yanatoka kwenye maeneo...
Hongera kwa kuchaguliwa kwenye Usahili Mkuu
1. Ukiingia kwenye chumba Cha Usahili utaambiwa nenda kakae kwenye computer ambayo imewaka, inabidi ufanye ivyo
2. Baada ya apo kwenye screen ya computer utakuta Kuna uwanja wa ajira portal ivyo utaambiwa uingize username na Password kwenye ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.