Recent content by richard jacob kikungwe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

    Wanaochukia wajinga tu,maana kwa MTU anaejua Uhuru Wa mawazo hawezi chukia Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Munga Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Nchi kila MTU anakaa kimya tu kwa kuwa kam ale akisema ndio kasema Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai kuzungumza na Waandishi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kesho 26.03.2017

    Anaenda wapi kwani jamani hadi akaonge airport?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai kuzungumza na Waandishi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kesho 26.03.2017

    Sasa nakubali kuwa hakuna utawala uliowekwa na wanadamu uliodumu zaidi ya miaka 40.Kuna kila dalili
  6. R

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai kuzungumza na Waandishi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kesho 26.03.2017

    Atasema nini naye hiyo ndugai hana lolote mwoga tu,yeye hawezi kuwa Shujaa kama Nape
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, sio kila anachosema huyu "Binti wa Insta" ni ukweli, hata hili la Kinana anapotosha

    Watanzania Tumepata funzo kuwa tusiwe watu Wa kuchagua chama kwa kuangalia wametupa T-shirt Haya ndio malipo yetu kwa makosa tuliyofanya.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unasemaje kuhusu hizi picha?

    Ndio maana akaitwa Bashite
  9. R

    JamiiForums Tanzania Unasemaje kuhusu hizi picha?

    Vijitu vya nchi maskini hizi vinakuwa limbukeni Wa vyeo. Nchi wenzetu wanajishusha ndio maana wanainuliwa.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Bashite anatafuta laana.hakuna alipambana na Mtumishi Wa Mungu akapona.Maana Biblia inasema Ukigusa watumishi Wa Mungu umegusa mboni ya jicho la Mungu aliye hai Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Huyu Makonda anatafuta laana kwa Mungu Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
  12. R

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA VIROBA: Wauzaji wa jumla mawakala wachanganyikiwa

    Hakuna stica wala nini viondolewe
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dhamana ya Lema: Tume iundwe suala zito la unajisi wa sheria na kuchafua mahakama nchini

    Mungu katika haki husimama mwenyewe.Mungu ameamua mwenyewe kui gilia suala la Lema Mtumishi Wa Mungu. Hakuna atakayesimama katika jambo hili.Bwana Wa mjeshi mwenyewe ameibeba agenda hii .
  14. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Hakuna vigezo.Biblia inasema asiyemwaminifu kwa kidogo huwa siyo mwaminifu kwa kikubwa pia.kama Makondo alidanganya katika elimu take hawezi kuwa mwaminifu kwa mengine
  15. R

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Hakuna shaka kabisa mki kwa nguruwe
Back
Top Bottom