Huyu mfugale, kwa jinsi alivyobuni na kusimamia madaraja mengi hapa nchini,Mimi binafsi naweka wivu pembeni,anastahili kuenziwa namna hiyo, wabongo tuna matatizo ya kutopenda vyetu,daraja lingeitwa la Uhuru Kenyatta nadhani usingehoji
jamani,nahoji upeo wa mawazo wa muuliza swali, na kama kweli yeye ni msomi au m2 asiye na elimu,naona bado ana mawazo ya mwaka 47 kwamba hapa bongo chuo ni udsm tu,hayo ni mawazo mgando,nadhan mmemshauri vzr juu ya kufanya research za waliojiriwa mwaka 2009/10 na aangalie hao anaoamini wanatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.