Ni kweli kabisa Japo soko la ajira limekuwa ngumu inawalazimu masomo wa chukue kazi zenye maslahi japo sio fani zako hivyo kuongeza ufanisi katika sekta hizo lakini wanapunguza ufanisi kwenye fani binafsi
Ukweli ni kwamba wanao fanya decision making ma ofisini hawajawahi kufanya biashara na kukudiriwa kodi such as VAT huwezi lea mtoto wa mtu kwasababu hujui
HIVi waungwana serikali inapata mapato makubwa sana kutoka kwenye sekta ya madini kwanini isije na mbinu ya kuwainua hawa wachimbaji wadogo wadogo kwa kuwapatia mashine hata kama kwa kukodi kwa bei ambayo ni nafuu watu wachimbe madini na kulipo kodi iih pia inakuwa ni uwekezaji mzuri kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.