Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka.
Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
Bila shaka wewe ni Mfipa! Wafipa hawawezi kutamka vizuri neno "frame" na badala yake wanaita Foloma wakimaanisha mould ya kutengenezea tofali.
Please nenda pale university of Dar es Salaam karakana iitwayo BICO - campus ya mlimani na watakupatia hizo foloma za kutengenezea paving blocks.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.