Naungana="MZEE MSASAMBEGU, post: 15306611, member: 137261"]Mkuu wewe uwalimua socwakajamiianeomea ualimu nasio mwalimu na huna sifa za kutufundishia watoto wetu..kilichotakiwa ungetupa experience yako kama ulishawahi kufanya kazi ya kufundisha huko nyuma ili mtu anayesoma thread yako hapa ajue...
Kuna baadhi ya watu wanasambaza maneno ya kuwa walimu wa arts wametosha hivo hawatoajiliwa.
Kiongozi gani wa nchi alitangaza hayo???
Walimu bado wanahitajika na kama wangekuwa hawahitajiki basi serikali ingetoa tamko au kusitisha uzalishaji wa walimu wa arts.
Hivyo walimu wa arts muwe na...
Walimu wa masomo yote bado wanahitajika kwa wingi,wewe unaewakatisha tamaa walimu wa arts not fea hao walimu wapo wengi shule uliyopo tu,lkn shule zingine hazina walimu kbs.So msikate tamaa ajira zipo na wangekuwa hawahitajiki serikali ingesitisha mara moja uzalishaji wa walimu wa masomo ya arts.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.