walimu watarajiwa 2016

rich@2016

New Member
Dec 30, 2015
3
1
Kuna baadhi ya watu wanasambaza maneno ya kuwa walimu wa arts wametosha hivo hawatoajiliwa.
Kiongozi gani wa nchi alitangaza hayo???
Walimu bado wanahitajika na kama wangekuwa hawahitajiki basi serikali ingetoa tamko au kusitisha uzalishaji wa walimu wa arts.
Hivyo walimu wa arts muwe na subira,huu ni mwaka wa neema kwetu mambo yatanyooka mda c mrefu.
 
Kwani ni Lini serikali imewahi kuzuia uzalishaji wa wahitimu kwa kada yoyote ile.? Wanaamini ulipoenda kusoma ulizingatia vitu vingi baada ya kuwa na taarifa za kutosha juu ya chaguo lako.
 
Back
Top Bottom