Recent content by Ric gifted

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ielewe fasihi

    Fasihi ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kufikisha ujumbe kwa jamii.Kuna fasihi andishi na fasihi simulizi.Nyimbo ni sehemu ya fasihi simulizi.Fasihi ni zao la jamii,kwa sababu hujadili mambo mbalimbali yaliyo katika jamii husika!!Mara nyingi sana wasanii hujadili matatizo mbalimbali kwa aina...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwako

    Haya ni Mabadiliko ya kifikra,Badala ya kuleta visa vyenu na kulialia,tunaelimishana in a fun way!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwako

    Soma kwa hatua utaelewa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwako

    Natumai u mzima sana wa afya Dada yangu mpendwa, mie ni bukheri wa afya namshukuru MUNGU kwa kutujalia uzima mpaka sasa tupo mwishoni mwa mwaka.Dada yangu mpendwa,naandika waraka huu nikiwa na majonzi tele juu yako! Duniani kote ndoa ni tendo la baraka na heshima tele,lakini najiuliza kwako...
Back
Top Bottom