Pole Sana! Kuna tangazo walilitangazaga Sana Hadi kweny website za Ubalozi wait kwamba Kuna shida iliyokea kweny sustem zao. Wakasema zoezi litaanza upya woote waliocheza warudie Tena!
kama unamaanisha passport ya kusafiria, sio lazima uwe nayo mkononi ila ukishashinda ndiyo utaanza mchakato wa kutafuta hiyo passport kwa ajili ya safari coz itahitajika ubalozini.ili mr adi majina yako yawe sana na cheti cha kuzaliwa unayo jiregister siku ya kucheza.
Hakuna garama yoyote ili mr adi uwe na kigezo chochote kati ya viwili wqlovoviweka. 1. uwe umesoma angalau hadi high school, 2. expérience ya kazi ya miaka 2 walizoziorodhesha kweny instructions zao.
pia ni moja ya sheria kwamba, kama ni mwana ndoa alafu ulipocheza hauku sema kama umeoa au kuwa na watoto siku ya kwenda kwa ubalozi hautopata visa utakuwa disqualified coz hukuwa mkweli, na hautopata visa.
Kwa wale wanaotaka kushiriki mwaka huu vigezo ni kati ya hivi viwili...
1. Uwe umesoma hadi high school na
2. Angalau uwe una expérience ya miaka 2 ya kufanya kazi au zaidi tangu siku unafanya entre ya application..
Angalizo hii kitu jamani ni ya ukweli Watanzania tushiriki hii lottery, dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.