Maoni yangu:
hiyo hela ni ndefu-- kama kuna mizengwe au hakuna huwezi jua, cha maana fuata procedure, tafuta na lawyer wako awepo soma mikataba mnayowekeana, mwombe uthibitisho wa fedha halali, kwasababu wajanja wako wengi, unaweza ukahusishwa na money laundering wakati wewe nia yako ilikuwa...