Recent content by rhyme

  1. rhyme

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    ahsante mkuu ila hii inaondoa kabisa au inapunguza maumivu tu
  2. rhyme

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    inafanana ila endapo kaa imetokea kwa ndani ila yangu ipo kwa nje
  3. rhyme

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    mkuu tatizo hili limeanz ivi karibun c zaid ya siku mbili
  4. rhyme

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    ni ipi tiba nzuri ya huu ugonjwa maan nahisi na dalili za huu ugojwa siku ya tatu sasa tangu nmeanza kuhisi nimesoma baadhi ya makala ndo nkagundua nacho umwa ni iki, naombeni mnijuze dawa ya huu ugonjwa wakuuu....
  5. rhyme

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    umefanyaje mkuu hapo msaada wako tafadhali
  6. rhyme

    JamiiForums Tanzania Muongozo wakuu vitu vya kizingatia unapohitaji kununua flat screen.

    Wakuu kama mnavojua wafanya biashara wamekua wakiuza bidhaa ambazo mda nwingine ua c original sasa nawezaje kutambua flat screen aina ya sumsung kama ni orignal ama feki
  7. rhyme

    JamiiForums Tanzania Cheque namba Utumishi wa Umma

    aichukui mda mkuu me nmeripoti kazin mwez wa kumi na mbili chek namb nmepata mwez wa kwanza, itakua ufatiliaji wa maafisa utimish ni wa hapo ni mbovu mkuu
  8. rhyme

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    sawa mkuuu asante
  9. rhyme

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    mkuu nimejarib hii attchment tv kwenye cmu nyingine imegoma inasema cant open the file simu ni ya adroid OS no 4.2.2 nifanyeje app mkuu
  10. rhyme

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    shukrani mkuu yan ki2 inapiga kazi baalàa
  11. rhyme

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa mshahara wa customer care Vodacom na Airtel

    Wtu waajab san yan unaweza kuta uyu anae mkatish moyo mwezie yupo home kila asbui aanangojea beki 3 ampigie hodi kumwambia chai tyar, wa2 wapo wanapig hii kaz na wanaendsha familia l, hapo ni juhud yako ya kazi ndo malipo mazur
  12. rhyme

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Inasikitisha Sana Ndugu
  13. rhyme

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu window 8

    nimefany ivo pia imeshindikana mkuu
  14. rhyme

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu window 8

    Mkuu ipo ivi laptop aija stack ila tatizo ni kwamba kila nikijaribu kati ya vile viboksi kwenye start ikiwemo kile na cha desktop inagoma ina load mda mrefu arafu aileti kitu
Back
Top Bottom