Recent content by rhobinyahucho

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ras Simba ni nani?

    Msimsingiziee kwa lolote au chochote, anafundisha lugha vizuri na wale wasaidizi wake Pia wapo baadhi ya viongozi wa nchi hii wanafundishwa kwake kama wabunge
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Imeniuma sana Bwana. Peter kusema uongo ambao auna tijd yoyote
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    ISLETS sikulazimishi uamini au kutokuamini Juan kuwa Mathayo 10:41 jib u utapata kama uamini pia soma Mathew 16:19 au Mathew 18:18 jibu ukipata na unadili we zaidi ila kama ujapata Nitafute msofe3@yahoo.com nitakufundisha jinsi ya kusoma biblia na sio kukariri au jinsi ya kutafakari biblia na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    Watu mbalimbali wanapokea kila leo miujiza 1. Stika zipo na watu wanapokea miujiza 2. Mafuta yapo na watu wanapokea miujiza 3. Sabuni anatoa na watu wanapokea miujiza 4. Damu ya YESU anatoa kila siku saa10 kasoro Jumamosi na Jumapili 5. Anatabiri njoo ujionee mwenyewe na anavyotabiri na unajua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Mahakama kufunguliwa MwanaHalisi

    Nimefurahi sana tena sana kwa habari njema kwa mwanahalisi kuwa hewa ni tena Je litatoka Jumatano kama kawaida yake au
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Mahakama kufunguliwa MwanaHalisi

    Nimefurahi sana tena sana kwa habari njema kwa mwanahalisi kuwa hewa ni tena Je litatoka Jumatano kama kawaida yake au
Back
Top Bottom