Recent content by Rhinocerus

  1. R

    Natafuta driving school nzuri Dar es Salaam

    nenda New Vision Driving school iliyoko Lumumba primary School Mnazi mmoja ambapo kozi nzima ni 218000 kwa muda unaotaka wewe kuanzia mwezi au 2weeks wasiliana na 0715847004
  2. R

    Naombeni msaada

    Napata shida kutofautisha maneno yafuatayo japo yamezoeleka kwa kila mtu yaani HESABU NA HISABATI
  3. R

    Ajira na field za Horticulture, St. Joseph

    kiukweli Field za Horticulture zipo nyingi sana kwan kuna makampuni sasa yanayojishughulisha na horticultural crops katika mikoa kama Dsm, Iringa, Dodoma, Mbeya, vituo vya magereza, Arusha, Morogoro, Mwanza ht Kigoma nahic mwaka huu tawi litafunguliwa. Hvyo usiogope we kasome tena hongera sana...
  4. R

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Mmmh! Inatisha kwel walimu mbn hawatendewi haki cku zote?
  5. R

    Elimu yetu tanzania

    ukweli Elimu yetu Tanzania imekwisha cjui baada ya miaka 20 ijayo tutakuwa wapi kwn ni suala la kushangaza kila siku elimu yetu inaporomoka toka shule ya Msingi mpk Vyuoni. ukiangalia sasa hivi wkuna baadhi ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi na kuendelea na kidato cha kwanza wakiwa hawajui...
Back
Top Bottom