Natafuta driving school nzuri Dar es Salaam

Natafuta driving school nzuri Dar es Salaam

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habari za sahiz wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Dar bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni manual. Hii ni kwa dereva wa magari ya kawaida tu ambaye tayari ana foundation nzuri kwenye driving
 
Love and Joy Driving School Kisutu..!
 
nenda city driving school wanamatawi sinza shekilango, tabata, mbezi beach na liver side mkabala na hostel za chuo kikuu na bei zao ni 150,000 kwa mwezi na lazima ujue kwa kipindi hiko.
 
Mlimani driving School wapo Lufungila opposite na Kakobe church, wana magari imara mazuri na sio chakavu kama Victory school, gari ya manual ni 250,000/= kwa mwezi. Utaratibu wao ni mzuri unakuwa na dakika 30 darasani kila siku na dakika 30 barabarani, unahudumiwa vizuri hakuna haja ya kusubiri eti mjae ndo muingie barabarani, ukifika unapata mafunzo mazuri, walimu ni werevu sana, wenye nia na wanajituma sana, fika utaifurahia huduma yao.
 
nenda New Vision Driving school iliyoko Lumumba primary School Mnazi mmoja ambapo kozi nzima ni 218000 kwa muda unaotaka wewe kuanzia mwezi au 2weeks wasiliana na 0715847004
 
Thread ilikuja 10/10/2014, atakuwa alishamaliza na sasa ni dereva mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom