Recent content by Rey068

  1. Rey068

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    What[/green]
  2. Rey068

    JamiiForums Tanzania Nikimkataa huyu mtoto nitakua nina makosa?

    Sijaona sababu ya wewe kumkataa Huyo mtoto..... Kabla ya mimba alikwambia ana hamu ya kuzaa na wewe.... Alipopata mimba ulijua na ulienda kumuona pia.... Umetuficha kama ulimshawishi kutoa akaamua kukudanganya imetoka na wewe ukafurahia na kituma pesa za kusafishwa.....kumbe unalea mimba...
  3. Rey068

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi sana siku hizi wanapenda kuoa mwanamke aliyeajiriwa?

    Hapa Nimekuelewa Sana
  4. Rey068

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri niko dilema

    Mmmmh Haya bwana
  5. Rey068

    JamiiForums Tanzania Fahamu vigezo sita ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke akukimbie au kukuacha kabisa

    Ni kweli,..... We fanya vyoote Ila Kama huna pesa utabaki kusema moyo sukuma damu
  6. Rey068

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisaliti pia anajifanya ananipenda

    Msamehe na uendelee naye maana hata wewe unampenda.. Kitendo cha kumsamehe mara ya Kwanza na kumuadhibu mara ya Pili mpaka kumvunja mkono kinaonyesha wazi huwezi kumuacha na unampenda pia.... Ukiona umemuacha bila kuomba ushauri ndo ujue humpendi tena
Back
Top Bottom