Nyakati zinabadirika jamani !!
enzi zile G.Lema hasingeweza kukaa ndani Muda wote huo.
Hii ni picha mgando inayoosha ni siasa zipi watu wanazihitaji kwa kipindi hiki
Y.N,Unakataa IMANI wakti huo unanukuu vitabu vya imani ...kwanini!??
Nimekusifu kitu kimoja ,wewe ni mjenzi mzuri wa Hoja
japokuwa nimebaini hoja yako wewe binafsi hauiamini japokuwa unamaanisha jambo flani kubwa unaloliwazo.
Lakini nahisi kipindi hiki unaweza kupatwa na Tatizo la Msongo jaribu...
Siamini uchawi ,kwasababu Enzi za kuzaliwa kwangu sikuwahi kuambiwa kwetu kunamchawi ;lakini kadli miaka inavyokwenda kutokana na matukio yasiyo yakawaida yanayowapata watu haswa ninaowafahamu
imani ya kuamini wachawi yamkini wapo inaongezeka siku hadi siku!! .Juzi Juzi kuna rafiki yangu...
Nadhani hujui wajibu wa serikali kwa Raia wake ,
Mleta mada nadhani hata sasa wewe bado nitegemezi wa Fikra na yawezekana uzi wako umeandika kwa kukopi au Kuskia stori flani za vijiweni pale Hamugembe.
Kwenye swala la Serikali kusaidia watu wake sio Msaada huo ni wajibu wa serikali kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.