• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Return Of Undertaker

 1. Return Of Undertaker

  Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi

 2. Return Of Undertaker

  Maria Sarungi: Mkopo wa WB wa elimu una masharti ya mtoto lazima arudi shule baada ya kujifungua, si Ombi ni lazima. Serikali kwanini inaficha ukweli?

  Anaandika Maria Sarungi Mambo ni mengi muda mchache Leo habari imefika mkopo wa World Bank ineidhinishwa kwa ajili ya elimu ya sekondari- nimekuwa bize kuelimisha watu Twitter ila na huku ni vyema tukijikita kusoma kwa kiina mpk maandishi madogo 😂😂maana masharti yako clear ni hivi: 1. Mkopo...
 3. Return Of Undertaker

  Majuma Mawili ya Uchungu Mwingi kwa Amerika Yanakuja

  TRUMP - WAMAREKANI MJIANDAE KWA SIKU NGUMU ZIJAZO: Katika hotuba yake Rais Donald Trump wa Marekani jana, haikuwa na maneno matamu wala matarajio ya kuwepo kwa tiba ya miujiza au mawazo ya kufungua biashara majira ya sikukuu za Pasaka. Ilikuwa hotuba baridi, yenye ukweli mchungu kuhusu...
 4. Return Of Undertaker

  Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

  *Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!!🤔 Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita* 🇮🇹 Italy February 21 2020 - 21 cases March 27 2020 - 86,498 cases 🇺🇸 United States February 21 2020 - 16 cases March 27 2020 - 100,037...
 5. Return Of Undertaker

  Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

  *Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!!🤔 Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita* 🇮🇹 Italy February 21 2020 - 21 cases March 27 2020 - 86,498 cases 🇺🇸 United States February 21 2020 - 16 cases March 27 2020 - 100,037...
 6. Return Of Undertaker

  Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

  #KongamanoUDSSM Rais John Magufuli amesema hadi sasa Serikali ina akiba ya Dola za Marekani bilioni 5.4 zinazoweza kununua bidhaa na kuendesha nchi kwa miezi 6. #MwananchiUpdates Mwananchi Newspapers on Twitter
 7. Return Of Undertaker

  Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

  Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu" Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
 8. Return Of Undertaker

  Bunge la bajeti litahudhuriwa na wabunge wasiozidi 150, sijajua sheria inaruhusu au huu uamuzi ni sahihi? Na bunge kuanza saa nane mchana

  Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma: Hakuna maswali kwa waziri mkuu Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu Waandishi wachache wataruhusiwa
 9. Return Of Undertaker

  Serikali ya Tanzania yapokea Tsh. 1.185 Bilioni kutoka kwa Wadau ili kupambana na Corona. Yabaibisha akaunti ya benki kwa anayetaka kuchangia

  Watanzania wanaopenda kuchangia fedha kukabiliana na Corona, akaunti namba yatolewa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kukabiliana na ugonjwa wa Corona ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huu nchini Kauli hiyo ameitoa baada ya kukabidhiwa msaada wa vifaa kinga, fedha na...
 10. Return Of Undertaker

  Iringa, baraza la madiwani laitishwa kumng'oa Meya, baada ya mahakama kutupa madai yake kwa kukosea vifungu vya pingamizi lake

  Saa chache baada ya Mahakama ya Mkoa kutupa maombi ya kuzuia mchakato kumng’oa meya ya Manspaa ya Iringa, Alex Kimbe, Baraza Maalumu la Madiwani limeitisha kikao kinachoaminika kitahitimisha suala hilo. Kikao hicho kilichoitishwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, kitafanyika leo saa 4:00...
 11. Return Of Undertaker

  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yakana kufunga mipaka

  Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid amesema Watanzania walioko nje ya nchi baada ya Jumamosi watasalia waliko. Bw Rashid amesisitiza kwamba taifa hilo halijafunga mipaka yake. Waziri aliongeza kusema kuwa waliorudi 130 wapo karantini na baadhi yao hawaonyeshi uzalendo. Video : Millard Ayo
 12. Return Of Undertaker

  “Hadi kufikia June 30, 2019, Deni la Serikali limefikia Tsh. Tril. 53.11 ambapo deni la ndani ni Tril. 14.86 na la nje ni Tril.38.24

  “Hadi kufikia June 30, 2019, Deni la Serikali limefikia Tsh. Tril. 53.11 ambapo deni la ndani ni Tril. 14.86 na la nje ni Tril.38.24, ni ongezeko la Tril 2.18 (4% ) ukilinganisha na lililopita, ongezeko la deni limesababishwa na riba ya mikopo halisi na kushuka kwa thamani ya shilingi, deni hili...
Top