Recent content by Return of putin v

  1. R

    JamiiForums Tanzania KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

    Chura punguzeni vituko na wenu uhayawani, mnazua sokomo watu hawawaeleweni! 100% in Lubumbashi Mechi itakuwa 2-2 and TP Mazembe OUT..... ni wepesi sana!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuliopoteza Vyeti Vs Changamoto za Necta

    Ni changamoto Kubwa..... Mifumo ya Ki electronic haina msaada kwa Wazee wa NECTA..... something is very wrong ...tuombe SIKU uncle MAGU apite kuwahoji...ndio watajiongeza.... kama wangekuwa smart...hii ilikuwa ni njia ya kuongeza mapato...wanaopoteza vyeti ...wangeandaa utaratibu mzuri wa ku...
  3. R

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

    HATERS MTAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO......Kuna shule nyingi sasa walimu wanakaa kwenye ofisi rasmi sio darasa lililogezwa ofisi ...Asante Makonda..... PIA Polisi wanatembelea magari bora ....Again Asante MAKONDA kwa ukarabati...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

    Washabiki wa NDALA FC mwaka huu once again mtaendelea kula Unga wa CHUPA.... MNYAMA MKALI NI HATARI SANA
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu ni msaliti, Watanzania tunahitaji wasaliti 10000 kama Lissu

    Lissu ni Msaliti kupita YUDA.... Aliongopa mengi kuhusu JK.... hatuwezi kumsahau na Kumsamehe kwa Uhaini huu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

    Kaka! Unajisikiaje baada ya tetemeko la Jumanne... UZALENDO MTAUONA Jumamosi..... 4 zilizobakia tumeagizwa na Al ahly wa tuwape nyinyi....
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mapambano ya demokrasia tayari yameanza

    Mkuu You are missing my point here! Tunajua MACCM yapo mengi na sheria zote wao ndio wanapitisha but Tungeshukuru sana na kupata AMANI Kwenye MIOYO yetu kama tungekuwa tunazisikia SAUTI ZA WAPINZANI kwenye mambo ambayo yana maslahi makubwa ya wananchi... kama tunavyozisikia SAUTI ZAO kwenye...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mapambano ya demokrasia tayari yameanza

    Mkuu unaanza kunitia wasi wasi kama upo salama.... inawezeka CHUKI yako ni kwa sababu ya UNTHA MUSHKERI
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mapambano ya demokrasia tayari yameanza

    Hakuna kitu hapa....historia inaonyesha UPINZANI WA BONGO ni wasaka tonge tu.... 1) Mmeshindwa kuonyesha umoja bungeni every time mmekuwa mnagongana....Kama sio CUF na Chadema basi CHADEMA na ACT 2) Mmeshindwa kutetea wananchi kwenye hoja za msingi zinazowaathiri moja kwa moja kama Kodi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mapambano ya demokrasia tayari yameanza

    Wacha kuzingua...mwaka ndio kwanza unaanza baada ya kuhamasisha watu kufanya kazi, kurekebisha makosa ya mwaka uliopita ili kuboresha maisha unaanza na mambo ya UASI....Tabia hii ndio mliotuletea baada ya uchaguzi 2015 na kumfanya MKUU aone kila MPINZANI ni MCHU WA MADARAKA na SIO...
  11. R

    JamiiForums Tanzania "Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

    UNAKUMBUKA YA MWAKA JANA ALIVYOTENDWA KATAMBUGA FC AU VIPI
Back
Top Bottom