Recent content by Resurrection

  1. Resurrection

    Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kufungua ofisi Dubai

    Mimi nahisi huu mwenge tuugeuze liwe kombora la maadui zetu tuugeuze liwe silaha.
  2. Resurrection

    Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kufungua ofisi Dubai

    Unawaka na kumulika maadui zetu ,sasa apo sijui tuwaone au watuone.
  3. Resurrection

    Mambo gani hupelekea kampuni kubwa kubadilisha jina mara kwa mara?

    Tena cha ajabu foreing investment serikali yetu inawapa upendeleo wa hali ya juu sana wanapewa magari mangapi kuingiza nchini bila kulipa kodi wakati mzawa unasafa kuingiza gari hata moja ndio maana kila baada miaka mitano kampuni wanauza anasema kapata hasara na kodi halipi anabadilisha jina go...
  4. Resurrection

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    Afrika hatujitambui wenzetu Asia kama Thai ,Vet na Malasia ni watu wanaojitambua sana sana
  5. Resurrection

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    Kwani hujui kama waafrika hatuna akili mm nakushangaa sana ,subirini wazungu wanakuja kuzichukua tena ,muone Traore na wenzake wamejitambua ktk makucha ya wakoloni.
  6. Resurrection

    Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

    Polepole na Baba ake plpl na familiya yote na fans wake wote huwezi cheza na SERIKALI .Ulikuwemo na umetoka katafute jembe ukalime kelele za mlango hazimuamshi mwenye nyumba .Raisi Samia achana na plpl wala usimjibu unajua Raisi wangu umekuwa mpole sana sana hawa watu wanataka uwe kama Makufuli...
  7. Resurrection

    Uvumilivu umenishinda, naelekea Zenji leo hii 23/05/2025.

    UBAYA UBWELA KARIBU YAKHEE KIZIMKAZII KWA MAMA UROJO UPO.Zandrano Tembea Kifua Mbele kikombe ni chetu mwaka huu Simba ni timu ya FIFA sitaki niseme sana lakini Simba atashinda kwa halali au kwa haramu lazima ashinde na mutakauja toa ushahidi hapa .
  8. Resurrection

    Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    KIPAJI ni Propaganda za wazungu kutaka kuwanya Waafrika kama nyinyi hamna akili au hamna kipaji kuna vitu wazungu ni mbwa na watu wabaya sana .Kwa mfano wakishakuona kijana mweusi ni hodari kwa kila kitu wanaanza kukutengezea zengwe toka mwanzo kuanzia shule ,university,kwenye kozi za polisi au...
  9. Resurrection

    Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Nipo na wewe kaka ,aliegundua umeme ni mtoto ambaye shule zote walimkataa kwa sababu alikuwa kichwa maji na barua ya kuachiwa shule alipewa mama lakini mama ndio kama akamwambia mwanawe walimu hawana cha kukusomesha kwa sababu wewe una akili sana kushinda wanafunzi wenzako matokea yake kagundua...
  10. Resurrection

    Kati ya Uislamu, Uyahudi na Ukiristo, ni dini ipi ipo sahihi kuhusu Ibrahim?

    Uislamu ni dini ya sheria. Ukristo ni dini ya democracy fanya unavotaka kuwa shoga, kuona mume kwa mume or mke kwa mke fanya utakavyo. Uislamu una promot ubinadamu.Kazi kwako chagua unapotaka.
  11. Resurrection

    Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

    Mwenye akili kazaliwa na yupo Bukina Capatai Ibrahim Traore kapindua meza na sasa Manyangau wanataka kumua but Allah anamlinda .Kidume kaamua na liwalo na liwe Maraisi na viongozi wote waafrika wanaona aibu zile za kuwa hatuwezi au hatuna akili au bila ya wazungu zinaanza kufikia tamati .NOTHING...
  12. Resurrection

    Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wewe ni TISS koma kufuatilia maisha ya watu ,kwani watu wote wanafanya kazi au wanahangaika kama unavohangaika wewe .MUSICHUNGUZANENI HAIFAI.kama mimi huyo mkaka nahama huo mtaa wa apecholala,
  13. Resurrection

    Vladimir Vetrov, jasusi aliyejitakia kifo chake mwenyewe

    Nimepata habari moja kuwa hawa mabolizi wa nchi mbali mbali moja ya kazi zao ni huo ujasusi ya nchi waliopo na nchi zao .
  14. Resurrection

    Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Mkuu hujalazimishwa kufuata Dini yyote fuata dini upendayo hata usifuate poa tu .
  15. Resurrection

    Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Nakupa simple answer ni kuwa Ibilisi alikuwa na KIBURI .Baba yetu Nabii Adam Allah alimuumba akamfanya kama doli au fremu tu kwanza wakati huo ibilisi anliona lile doli na kulichezea na kushangaa hiki kitu gani .Baada ya masiku kupita Allah akalitia ROHO na kuwa binadamu ndio hapo Allah akawapa...
Back
Top Bottom