Recent content by Respect

  1. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Imekuuma ee? usijali wewe pia ni mteja wangu japo una mambo! Mh, mkuu hao watu wengine ulikutana nao wapi woote wakakuambia hawaoni kuwa hiyo ni fare price!? umejuaje kuwa tatizo lao ni bei tu!? ungejisemea wewe tu matatizo yako, wengine pia wangesema ya kwao, au vipi? Hii ndiyo hekima...
  2. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Mzee nashukuru pia, Ila hizo nyumba nizangu ntazifanya chochote ninachotaka, na maneno uliyosema hapo ni changa moto kwangu. Dunia hii imejaa wakatisha tamaa wengi tangu zamani za kale! lakini ukiwa "hero" siku zote unwaangusha wakatisha tamaa na wanabaki wameshangaa! umewezaje?
  3. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Asante mkuu, lakini hapo ndiyo mwisho. Ikibidi ntabadilisha mkakati.
  4. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Jamani kutokana na hali ya kiuchumi ya dunia nimeamua kurekebisha bei ya zile nyumba zetu. Sasa kila nyumba ni shilingi laki saba za Kitanzania Tzs 700,000/= Karibuni sana....
  5. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Nashukuru mkuu kwa upendo huo, ila jamaa anataka nyumba kigilagila Lumo!! mie niko mwananyamala!
  6. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Laki tano haitoshi, ongeza laki tatu tumalize biashara leoleo!
  7. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Mzee nimekupata, asante sana.
  8. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Asante baba, ni njaa tu babangu! njaa inaleta akili. Inatisha sana watoto siku mbili wasiende choo!!
  9. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Mwananyamala A Karibu.....
  10. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Asante mzee unanuinga sana mkono, ubarikiwe uzae watoto wengi wote waende shule na wawe na maarifa tele!
  11. Respect

    Mjasiliamali Karibu tuungane, tujikomboe kimaisha

    Asante mkuu kwa hilo, Mie ni mjasiliamali, risk ni sehemu ya maisha yangu ingawa nakuwa muangalifu hadi mlango wangu wa sita wa fahamu ili nisipate matatizo au nisimsababishie mwingine matatizo. Amini usiamini niliposema na watu wengine mashahidi watakuwepo, nilikuwa namaana watu wa JF...
  12. Respect

    Mjasiliamali Karibu tuungane, tujikomboe kimaisha

    Wewe ni mjasilia mali wa kweli?? Kuna bidhaa nimeianzisha (new product), tayari iko sokoni kwa majaribio na imeanza kufanya vizuri tu, sasa inahitaji nguvu nzito kidogo, peke yangu itachukua muda mrefu kusimama; HIVYO NAFUTA 'PATNA' wa kibiashara. *Imesajiliwa, na inatengenezwa na mtaalam...
  13. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Zile picha za zile nyumba zetu, hizi hapa.
  14. Respect

    Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

    Jamani niseme tu ukweli nimefurahia sana response zenu ni nzuri tu. Nitumie meseji au nipigie simu yangu iko hapo juu, bei tutaelewana (punguzo lipo) msitie shaka....
  15. Respect

    Hodi, mjasiliamali mali ndani ya nyumba

    Asante kwa swali zuri mkuu,..Any way, tusubiri kidogo ndugu yangu huu ni utambulisho tu.
Back
Top Bottom