Kina mama ni wezi na wabinafsi sana!
Wanakuibia muda,nguvu,pesa baadae wanakuibia uumbaji wa Mungu (watoto)ulioshiriki pamoja kupatikana kwao kuwa kuwanywesha sumu!Bahati nzuri Mungu ni mwema hakunaga mtoto anaefanikiwa kwa baraka za Mama labda baba kama amekufa!!!watoto hubadilika na kuwa vile...
Hii Ngoma huchezwa deep huko Dunia ya kwanza gizani huko kabla haijaja huku nuruni,sisi tunafuata kilichoamriwa huko!
Kama wanataka kuipeleka upinzani lazima waushinde upinzani wa kule ndio washinde huku,wakilazimisha kiti hakitakalika kwao!ndio maana kina josephat gwajima wameacha kupigana...
Kila nchi Ina miiko ya kiroho na tambiko lake!
Hapa kwetu tambiko letu ni mwenge wa uhuru na Champa chake CCM,ili upinzani upewe lazima kufanyike tambiko jingine la kusimika upinzani wenyewe ili usilete dosari kwenye amani ya nchi na upngozi!
Mambo haya ni kama hekaya lakini ukiongea na wazee...
Kwani tume ya taifa ya uchaguzi imetoa nakala ya takwimu za uchaguzi za mwaka jana!!?yaani nakala ya matokeo halisi ya uchaguzi!!
Mwaka 2020 majimbo 79 yalichukuliwa na upinzani lakini hawakutangazwa kwa mujibu wa mwandishi huyu,fuatilia kwenye Uzi wake wa "operation imesitishwa the state...
Yaani kuichomeka TU ndio Hadi amtoe roho mlipa kodi!!?
Comrade ameniaibisha sana aiseh!!so sad!!
tuliimba wote kazi na utu,tunasonga mbele!
Kumbe utu ndio huu!!
Naamini karma itafanya kazi coz kwenye safisha safisha iliyokusudiwa kule chini ya bahari na yeye itamlamba haiwezekani eti baada...
Kwasasa watu wabaya wanaweza tumia huu upepo wakamteka mwenyekiti na kwasababu watu tuna hasira za kimya kimya ukashangaa wanna ccm tukakaa kimya akabaki Lisu na mwamakula pekee wakisema "Bring back our chair woman"
Hali ni mbaya sana comrade,ccm imelea wahuni kibao kuliko watu wema wachache...
Enzi zile ccm kilikua Bado chama chetu pendwa!kwasasa ni jeshi kamili la utekaji,huwezi jua nani anafuata!
Ipo siku tutashangaa mwenyekiti nae hajulikani alipo kama makam wake sasa hivi!!
Hili joka hili sio la kuchekea!!
Ukikataa ndoa unakua Malaya wa kudumu!usie na msimamo!!
Kama unaogoga cheti kile kitanzi cha kunyongea sisi,bas we mpange muishi nae kwao wajue ndoa itafungwa uzeeni baada ya matazamio ya ujana wenu!!
Ukitoa kishika uchumba plus mahari nusu,mnaendelea!
Kwanini uzeeke bila familia!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.