Mimi pia mdau wa huu uzi, mwaka siukumbuki vizuri. Niliweka miembe kama 5, michungwa, mlimao mmoja, Mistafeli 3, Komamanga, Mipapai(Nililinunua Mbegu za kisasa), Mlonge, passion
Matokeo
Muembe mmoja uliwahi sana kuzaa maembe yasiyo na ladha(Baadae ukawa balaa maembe mengi matamu, miembe...