Recent content by rennesha

  1. R

    What Are Tanzanians good at or renowned for ?Je watanzania wanatambulika kwa jambo gani duniani?

    we are talking about popularity.. the question raised on top of the thread.. Tz music is more popular than kenyaz.. Its rare to hear kenyan music played in our stations... while Tz music dominates in all stations across east, central africa .. so if you ask what we are better at... then the...
  2. R

    What Are Tanzanians good at or renowned for ?Je watanzania wanatambulika kwa jambo gani duniani?

    stupid... So you are saying kenyan music is better/ popular than Tanzanian? Fortunately numbers dont lie, how about checking youtube viewers Tanzanian Music artists Vs Kenyans... Wen we are done , lets check the number of shows abroad that Tanzanians get Vs what kenyans get.. Lets finish...
  3. R

    Natafuta Laptop mpya

    haha hata used... kama unayo jinadi
  4. R

    Natafuta Laptop mpya

    Budget 400k-500k Aina yeyote /spes ntakayoipenda.... upendeleo utakuwa kwa H.p na acer.. mwenye nayo anicheki 0789805698
  5. R

    Wale mliokosa chuo 3rd round

    Nafahamu wapo wanafunzi ambao wamekosa nafasi ya kuingia chuo mpaka sasa kutoka na wao kung'nga'ania kuchagua vyuo/kozi zenye ushindani hivyo kutupwa nje kutokana na competition. Habari njema ni kwamba naendelea kuwasaidia wanafunzi katika round hii ya 4 ambayo inaonekana wazi kabisa ndio lala...
  6. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    naam hakika niliosaidia wataleta majibu... kama wataniruhusu nileta screeenshots zao..
  7. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    we mpuuzi , kwahiyo wewe ni nani mpaka mimi nifuate maagizo yako?
  8. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    85% wamepata round ya kwanza na ya pili, waliokosa ni kutokana na ubishi wao wa kung'ang'ania kozi zilizojaa na vyuo vyenye cutthroat competition kama UDSM wakati ufaulu wao ni wa kawaida( 2 au 3 za mwisho)
  9. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    huyu mpuuzi sijui hajala mchana, yaani watu wote niliowafanyia application wasilalamike aje alalamike yeye ambaye hata simjui na wala sijawahi kumfanyia application, naona anatafuta mtu wa kumfia
  10. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    sasa kumbe shida yako hutaki mi niwafanyie application kisa ntapata hela halafu wao wana ndugu zao watawafanyia bure!!! ntolee kichaa chako hapa.
  11. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    kwahiyo hao ambao nimewafanyia application mimi huwa hawana ndugu au!!!
  12. R

    Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

    sijakutukana, siku zote mtu anayejifanya anajua halafu hajui huitwa mpumbavu au na hilo ulikuwa hujui?
Back
Top Bottom