Recent content by Renew nation

  1. Renew nation

    Uchaguzi jimbo la Njombe Kaskazini ni historia ya kipekee

    Mungu akiwa upande wetu ninani aliye juuu yetu?watakuja katika njia 1,nao watatawanyika kwa njia 7 tofauti tena wakikataana,wakati wa bwan ni huu kwa watanzania,kupitia ukawa chombo maalumu.
  2. Renew nation

    CHADEMA(UKAWA) kupitia kura za MAONI WAMETISHA

    Hongereni saaana kwa taaluma hii kwawotee!!..
  3. Renew nation

    Kwa staili hii, hakuna atakawapigia kura wapinzani

    Haya maneno unayoyasema,"Hakuna mtu atakayewapigia wapinzani kura"ni wewe na mke wako,Watanzania waliyechishwa na uhuni mchafu unqoendelea Wa CcM,WATAPIGA KURA KUIONDOA KERO HII,na utathibitisha,mqneno hata kwente kanga yapo ukiongea tunakusikiliza,UTEKELEZAJI UTAFUATA.
  4. Renew nation

    Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Futa kabisa tena Delate CCM,wezi wa pesa za watanzania na nyara za Serikali ya watanzania Maharamia kabisa haoo!!.
  5. Renew nation

    Matibabu ya viongozi nje ya nchi - Aibu kwa Tanzania!

    Kweli haswa viongozi wa chama Tawala wanahitajika uchunguzi wa kina katka Afya ya Akili zao.
  6. Renew nation

    Polisi wakamata konyagi feki Vingunguti

    Walinyimwa fungu ka kumi la income thats y Polisi wakaamua kulipua,polisi nao wezi tu.
  7. Renew nation

    Tunatangazwa 'Live' NTV Kenya kuhusiana na kusafirisha pembe za tembo kwenye ndege ya rais wa China

    Haya ni matukio yanayoonekana kwasasa lkn ambayo hajaonekana ni yakutisha,nchi imeuziwa watu na rasilimali zake,tuamue sasa kama watu wenye uchungu,Jeahi ni chombo kinachojitegemea na ni taasisi chanya ktk uhai wa nchi,ikivumilia vitu kama hivi,ni hatari,inahitajika fikira za ziada kutimiza...
  8. Renew nation

    Amon Mpanju: Wamenipiga huku wakijua mimi sioni macho

    Amoni mpanju inawezekana kutokuona ni adhabu ya kwanza,ya pili atikuta mbinguni,kusingizia makosa wana wa israel mpango halisi wa Mungu,ni Dhambi,ukawa ni watu makini wenye busara yakutosha hawawezi kufanya u ccm wa aina hiyo hata kidogo,hizo ni tabia za CCM,na ndiyo walichokileta ubungo...
  9. Renew nation

    Tarime: BAWACHA yazidi kuivua nguo CCM, yavuana M/kiti na Wanachama 40 Kijiji cha pemba

    Mmbwa akiona chatu ankombilia akilia,kumbe nidiyoaisha yake kushney!! ..ccm wezi wekufa huku wanatembea,tuwa malize hao! ..jamani.
  10. Renew nation

    Tarime: BAWACHA yazidi kuivua nguo CCM, yavuana M/kiti na Wanachama 40 Kijiji cha pemba

    Hapo mbwa kaona chatu!!..buroani ccm wezi wakubwa qa damu za watanzania.
  11. Renew nation

    Tanzania leo

    Tunaona mbwa akiona chatu sikuzote anamkimbilia kwa kumlilia,lkn kumbe ndiyo mwisho wake wa uhai,chatu akiona hivyo ananyamaza tu anakuwa mpole anasubiria hatima ya kujipatia kitoeo,ni kweli mbwa hanaga la kufanya kwachatu,zaidi kusubiri hukumbu ya kuvunjwavunjwa na kumezwa kabisa,Chama...
  12. Renew nation

    Kauli za Nape zinachochea vurugu nchini, nani amwajibishe?

    Kweli kama kuna tatizo hilo,labda,na siyo yeye ni team nzima ya ccm.
  13. Renew nation

    Kauli za Nape zinachochea vurugu nchini, nani amwajibishe?

    Hawezi kuchukuliwa hatua,kwa kuwa ametumwa aseme ukweli wa nia ya chama chake,je huoni mpaka sasa watanzania wanatoswa baharini?kusoma hujui hata picha pia kutaza huwezi?ni kukubali tu sasa kutoswa baharini kwa haki ya msingi yako wewe mtanzania mzalendo,Ccm siyo wazalendo ndiyo maana wanafanya...
  14. Renew nation

    Je ! hiki Kipigo cha Katiba ni Uthibitisho UKAWA Sii Lolote Sii Chochote, 2015 Ni CCM Tena

    Hapa siyo kipigo kwa ukawa,hiki nikipigo cha ccm,kwani kura za kupata katiba yao wamepiga,je wananchi watapiga?na adhabu ya kuacha maoni ya wanananchi hukumu yake wanaijua,1 kura za katibu,2uchaguzi mkuu,wamewacredit upinzani na ukawa kusema vzr dhambi zao kwa taifa na wananchi,tena kwa miaka 50...
Back
Top Bottom