Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

Hizo ni rasha rasha tu , mvua yenye radi kubwa inakuja.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Bravooooooo !!!!!! Rombo

Mwendo mdundo.
 
Futa kabisa tena Delate CCM,wezi wa pesa za watanzania na nyara za Serikali ya watanzania Maharamia kabisa haoo!!.
 
Tena jiwe la msingi na benders? Chadema mpaka sasa hawana hata kibanda cha kujengea baiskeli au kushonea viatu Rombo nzima, ni kykodisha na kodi hailipwi au la tunajikodishia kama ilivyo makao makuu. Peoples power and demonstration for change jengo la makao makuu ni la nani vile?

Sidhani kama ccm walianza kwa kuwa na majengo zaidi ya yale ya wavuja jasho wa Tanzania na yale ya iliyokuwa TANU. Wamejenga kwa fedha zetu na wameneemeka kwa fedha zetu. Hivyo basi kutokuwa na majengo chama fulani si tatizo, heri tupate madiliko ili tuonje aina nyingine ya uongozi...!!! Kwa wayasemayo na muonekano wa matendo yao wanaweza wakatutoa hapa tulipo na kutupeleka hatua za mbele kimaendeleo zaidi...!!!! Mungu ibariki Tanzania...!!!!
 
Back
Top Bottom