Recent content by Renatus Tibuhwa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwa na maelekezo ya uvaaji katika vyuo?

    Yaan ingekuwa wanaovaa hivo wanafukuzwa vyuoni ili kupunguza tabia chafu vyuon
  2. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    Mungu amrehemu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Utakuwa ---- wewe coz inaonesha we ndo ulienda UDOM kuendekeza umalaya cyo unasema ni chuo cha kata tena nitakutafuta nikuadhibu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuongeza ufaulu wa somo la Hesabu

    Kuhakikisha wanapata walimu wengi, wazur, wenye uwezo, na teaching skills nzur ili wanafunzi waweze kulipenda somo wakiwa bado wachanga, na kutoa kasumba ya kusema hesabu ni ngumu. hakuna cha ugumu kila somo ni gumu ndo maana nilipata F ya history ila yote ni BACKGROUND
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ndugu wenyeji tusaidien jinsi ya kupata admission letter maana naona tuna log in inazingua
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Mbona profile inafunguka fresh 2,ila walikuwa kwenye mkutano jana na nacte so ni kusubiria, na uvumi unasema mpaka kesho
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu na mafunzo uko wapi? Peleka muswada bungeni, simu zinaaribu wanafunzi wetu!

    Kwan wewe umepost kwa kutumia nin?? Na we acha kwanza tuone
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    Ajira nchini zipo nyingi tu ila tatizo ni ushemeji mwingi na rushwa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Saa 6 mchana na madakika kadhaa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ninashukuru sana wakuu ila ninaomba kuuliza wanaruhusu kujipikia??
Back
Top Bottom