Recent content by renamaizo

  1. R

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA USB SWITCH

    ilo kwel mkuu nimeongea mpaka aaut imekauka mtu akuelewi wananipa usb hub yenye switch wanajifanya wananielewesha akat mm najua ninachofanya bongo zitakuwepo tu mbona HDMI switch zipo
  2. R

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA USB SWITCH

    Habar wadau Nimezurula kariakoo mpaka nimechoka natafita usb switch sio usb hub usb switch ipo hv nina pc 3 na nina zitumia mara kwa mara kwa kaz mbalimbali sasq nikawa natafuta mfumo utakao niwezesha kushare vifaa vya usb nfano mouse keyboard pri ter etc via 2 pv ili nijiepushw na chomoa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    wadau wengi wamenifuata inbox ngoja nijibu hapa kwa msaada wote instalation TTCL sio free ni paid 100k acha ujuaji nenda ofisi za wilay au kata mpe engineer 100k yke utapewa lift mpka site na siku io io unafungiwa fast
  4. R

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    mm nimeshafunga TTCL ofisin km huna connection km hutotoa rushwa kwa maofisa na mafundi sahau ni uhun mtupu utajaza formu adi ukome utapiga simu jibu lao pendwa vifaa hamna serikal yenyewe ipo io tu hawashughulishwi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Mungu up Mungu upo ila dini au mbinu tunazotumia kuwasiliana nae nina mashaka nazo
  6. R

  7. R

  8. R

    JamiiForums Tanzania Imani potofu huchangia sana umaskini

    wema unawe kukuua
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    paa pea pesa unawea kugonhewa mkeo arn a mwanao kijia ku uija Jr nd sulujs
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    weka oicha zao apa
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    mmmh
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    hui ujinga na wizi umepitwa na mda mm demu aniletee sound izo simjibu kitu nasepa kimya kimya
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    thubutu mwanamke ata uwe na hela ataleta shobo tu ili ww ujichenge mfano mm kuna demu aliniombaga anywe soda yangu nikamwambia kunywa akanywa tena kwa madoido nikajitia simuelew mwingine alinopaga maji nimfungulie kawapita watu kibao aje aniombe mm nikajitia simuelew nikamfungulia...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    mm nawamotivate tu ila ucje ukadhan wakianza kututongoza tutatongozwa ovyo km tunavyowatongoza sisi ilo sahau wale wakipenda wanapenda kweli wana kinyaa pia ivo akikuambia anakupenda kamaanisha sisi wanaume tumeweka tamaa mbele
Back
Top Bottom