Recent content by Remtuz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

    Mbona iphone ina specs nzur kuliko hio nyingine ila bei zafafa nn tatizo, samahani lakini🤔😂
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la mita(luku) kuandika connect fail

    Samahan wakuu nina tatizo hapa la mita au maalufu kama luku ni ile ya kisasa yenye kile kimita kidogo kama kalukuleta cha kuingizia umeme na kuangalia pia sasa imekuwa na tatizo hili la connect fail kama mwezi hivi nikawasiliana na tanesco iliyopo jirani yangu maana mimi niko dat mitaa ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Mkuu sasa kwann usitupe hii elimu adimu hapahapa hivi kila mtu akisema amutafute utatafutwa mpaka pm yako utailimbia au umeandaa group la WhatsApp tuje kama sio basi jibu tu hapahapa mkuu tunaomba lakin.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Hivo vidonge vya pep vinavizuia maambukizi ya ukiwmi vinapatiakanaaa wapi na ni sh ngap mbona sjawahi kuskia inamaana umefanywa siri ili iweje kwamba watu tukijua tutafanya ngono zembe kwa kutegemea kemeza dozi ya pep naomba majibu hapa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Tumuamini nani sasa mbona mnatuchanganya jmn!!???
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Mbona kama mnatuyumbisha sisi tusiojua wapi ni wapi huyu anasema huv na mwingine anakuja kupinga tumuamini nani jmn.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mo xtra kinywaji kipya

    Jmn tuwe wa kweli kati ya energy zote zilizopo kwenye soko hata kwetu Tz iwe yminatengenezwa hapa au nje ni ipi iko poa na inakupa nguvu na uchangamfu kama Mo energy ipi nzuri zaidi aisee
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mo xtra kinywaji kipya

    Dah aisee kama ni kwelii imepanda haya ni majanga ila bora ipande bei kuliko kukosekana wengine tushazizoea jmn hizi energy ni shida i think iyo xtra sio nzuri kama energy zenyewe
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mo xtra kinywaji kipya

    Ila jmn tuache masihara mo energy ni nzuri imetokea kuniteka hatari
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mo xtra kinywaji kipya

    Hiyo mo Xtra ulipoitumia uliionaje inakupa nguvu na uchangamfu kuliko mo energy au tupe feelback mkuu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    [emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Mmmhh hadi unaboa mda mwingine mtu anaweza kujiuliza huyu jamaa nmekosea nn au anajiona matawi hawezi ongea na mimi maskini... Punguzeni uoga jmn mta wapa watu maswali yasiyo na majibu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Hii balaa sasa yaani uulize chooni wapi wakat upo kwako hiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom